Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,928
- 4,495
Si wanasema mpira una matokeo matatu? Hii match dhidi ya mashujaa ni TOKEO MOJA TU. YANGA INASHINDA.BASI. HAMNA JINGINE.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA MASHUJAA
3. YANGA ITAISHENYENTA MASHUJAA
Kinyume na hapo moderatora niwapige ban ya siku 3.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA MASHUJAA
3. YANGA ITAISHENYENTA MASHUJAA
Kinyume na hapo moderatora niwapige ban ya siku 3.