Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,998
I see u bebe"Date The Right Person,With Right Reasons,In A Right Time Uone Kama Mapenzi Hayapo..."
Nimenukuu
I see u bebe"Date The Right Person,With Right Reasons,In A Right Time Uone Kama Mapenzi Hayapo..."
Nimenukuu
Show zinatofautiana bana.. Na kuna watu wanaachana na kurudiana kisha kufunga ndoa na wakaishi fresh tu.. Nadhani kikubwa hapa ni kuangalia kwa nn aliondoka na kwa nn anataka kurudi zen uangalie kama moyo wako pia unaweza kumpokea kwa mara ya pili.. Wapo watu wanajifunza kutokana na makosa yao na wakabadilikaKama keshakua X wanini tena aendezake uko akutane na ma X wenzie,yani watu walojaa tele duniani umrudie huyo kwa huyo ili iweje? akirudi atakufuja bure nakukupotezea mda hana jipya show ndio zile zile ladha ndio ileile sasa wanini?
Show zinatofautiana bana.. Na kuna watu wanaachana na kurudiana kisha kufunga ndoa na wakaishi fresh tu.. Nadhani kikubwa hapa ni kuangalia kwa nn aliondoka na kwa nn anataka kurudi zen uangalie kama moyo wako pia unaweza kumpokea kwa mara ya pili.. Wapo watu wanajifunza kutokana na makosa yao na wakabadilika
Unaweza ukawa sahihi,ila kwa mimi nafsi yangu nikisema basi namaanisha,wengine wanakua na moyo wakuvumilia mie mwenyezi mungu hili hakunijaalia..Show zinatofautiana bana.. Na kuna watu wanaachana na kurudiana kisha kufunga ndoa na wakaishi fresh tu.. Nadhani kikubwa hapa ni kuangalia kwa nn aliondoka na kwa nn anataka kurudi zen uangalie kama moyo wako pia unaweza kumpokea kwa mara ya pili.. Wapo watu wanajifunza kutokana na makosa yao na wakabadilika
Ni 50/50 bana..Sema sometimes unakuta mtu kaachwa zen baada ya muda yeye mwenyewe ndo anatengeneza mazingira ya kurudiana na mtu aliyemtenda..Huyo kweli akirudi atapumzika tu na kusepa.99% huwa wanatafuta pakupumzikia tu kwa muda wakiwa wanatafuta wapi pakutokea
Ni 50/50 bana..Sema sometimes unakuta mtu kaachwa zen baada ya muda yeye mwenyewe ndo anatengeneza mazingira ya kurudiana na mtu aliyemtenda..Huyo kweli akirudi atapumzika tu na kusepa.
Ila kama amejileta mwenyewe una nafasi kubwa ya kudeka na kuleta nyodo tani yako..Kwanza mrudishe chekechea zen anza kumpa mitihani..Akifaulu wa chekechea unampa wa la nne,akifaulu unampa wa la saba..Akimaliza chuo na Gpa nzuri hapo ndo unaweza kumfikiria
NotedDuuu! Pole sana kwa kuachwa bt unapoingia kwenye mpzi usiweke akili ya kuachana utamaliza dunia kama unahisi moyo wako hauwezi misukosuko ya mpzi bora uwe peke yako angaliaaaaaaaaaaaaaa!