Hii ni ishara tosha kuwa rais magufuli atakuwa na shida uchaguzi wa mwaka 2020

Wapinzani bhana eti 2020 Magu atakua na kazi...nani kakwambia kua CCM inaweza kufanya ujinga tena kumleta agombee , hiyo sahau kabisa 2020 mgombea anatoka Zanzibar
 
Zitaibiwa then watabaki kupiga domo tu tumeibiwa....
Shetani pekee ndiye hufurahia na kujisifu kupitia wizi.. Mwizi wa kura hawezi kuleta maendeleo. Zaidi akishaapishwa kazi yake ya kwanza ni kapambana na washindani wake ili kujiandaa na uchaguzi unaofuata.
 
Wapinzani bhana eti 2020 Magu atakua na kazi...nani kakwambia kua CCM inaweza kufanya ujinga tena kumleta agombee , hiyo sahau kabisa 2020 mgombea anatoka Zanzibar
Ccm wanaachiana miaka 10.
Sasa nani ana ubavu wa kumtoa pale?
Kwanza kawekwa na Mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…