fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Mda kama huu ilibidi waanze kujiimarisha mapema sana sehemu za vijijini na ambako walipoteza kura nyingi kwa kunadi chama na sera katika maeneo hayo,kushirikiana iapasavyo katika shughuki za maendeleo,kuanza kupima wagombea wao kwa ngazi zote wanaokubalika na wananchi na kuwaandaa mapema kwa kampeni zijazo,inabidi waone kila saa moja inayopita kuwa ya thamani sana na kila dakika isipite bila kupata member mpya countrywide kwa njia yoyote, wasiishie kutatua kesi mahakamani na kuharibu muda mwingi katika kesi hizo,wenye nyadhifa wote katika chama inabidi wawe disciplined ili kuepuka usumbufu wa kukamatwa na kupoteza muda mwingi kwenye kesi,wahakikishe wamwjijenga ipasavyo vijijini ambako wanaonekana kupuuzia na kuishia kukosa kura muhimu.
Muhimu pia(japo linaonekana kutowezekana kiurahisi) vile vyama ambavyo vinajua vinakuwa wasindikizaji kila election waamue sasa kujiunga na wenzao walio juu yao kwa vyote ili kuongeza nguvu na kupunguza wastage of votes na voters distribution, ikiwezekana kuwe na vyama viwili tuu vya upinzani lakini chini ya makubaliano sahihi na yenye maslahi kwa uma na sio kikundi cha watu.
Pia huu mwaka ndo mwaka wa kuanza kupigania marekebisho mbalimbali katika vipengele muhimu vya katiba kama tume huru ya uchaguzi na hii ishu ya wakurugenzi makada kuhusika kwenye kutangaza matokeo since bwana yule haonekani kuipa sapoti katiba mpya.hapa ndo penye shida,at least wakiweza huu mfupa basi hata wakishindwa 2020 watakuwa wamepiga hatua kubwa kuelekea ikulu.inabidi waanze mapema hili swala na sio kusubiri few months before election ndo wademand free and fair electoral commission.
Tumechoka na vilio vyao kila uchaguzi,sasa ni mda wa kuanza ku-pave the way kuelekea kushika dola,warekebishe mifumo ndani ya chama ili kupunguza weakness zitakazopunguza idadi ya kura,huu ni mda wa kupalilia chama kionekane chama kweli na sio watafuta ruzuku or else wataishia kulialia every election.