Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,815
- 26,200
Nawasoma kwa jicho la 3D huku nikinywa kahawa..Hahaha..Asante sana Mkuu.Wewe na bruda Otorong'ong'o huwa mnapiga "Contrapuntal" heavy weighted. Ndugu yetu Otorong'ong'o dogma imeketi na kutulia kichwani mwake. Naye aishi milele ndugu yetu huyu.
Mkuu wangu, hapo ndo unapata Pure Theology kutoka kwa Mama Kanisa.
Felix culpa-
Haya mambo huyapati kwingine ndugu yangu.
- an apparent error or disaster with happy consequences.
- the sin of Adam viewed as fortunate, because it brought about the blessedness of the Redemption.
Vatican idumu!!
Kiti cha Mt Petro kidumu,
Injili ya ukombozi isonge mbele