Hii ndoto inamaanisha nini?

Hiyo sio ndoto ni Astral travel ,ukiwa una mazoea ya kufanya meditation utaifanya kwa maamuzi na sio bahati mbaya kama ilivyokutokea wewe na utafurahi mno.
meditation kuna siku nilijaribu kumeditate nikiwa nimelala nikaanza kuconcetrate na pumzi yangu nikaanza kuona kati kati kuna rangi ya zambarau ila kuna duara linazunguka nikafungua macho nikasema ngoja nifunge macho kawaida sikuona hio hali
 
Mie nina mwezi naota niko kijijini tuuu, yaani naona maisha yanaendelea huko tu. Tuko na familia na majirani wa huko na ndugu. Yaani haipiti siku mbili lazima niotr ndoto niko huko!
 
meditation kuna siku nilijaribu kumeditate nikiwa nimelala nikaanza kuconcetrate na pumzi yangu nikaanza kuona kati kati kuna rangi ya zambarau ila kuna duara linazunguka nikafungua macho nikasema ngoja nifunge macho kawaida sikuona hio hali
Hautakiwi ujaribu inatakiwa iwe sehemu ya maisha yako kila siku kabla ya kulala na baada ya kuamka.
 
meditation kuna siku nilijaribu kumeditate nikiwa nimelala nikaanza kuconcetrate na pumzi yangu nikaanza kuona kati kati kuna rangi ya zambarau ila kuna duara linazunguka nikafungua macho nikasema ngoja nifunge macho kawaida sikuona hio hali
Kuna siku utaachana na mwili kimasihara mkuu acha uo mchezo.
 
sasa hivi nimeacha kuipatiliza hio sauti lakini naweza kua nawaza jambo kichwan ikaja sauti ndani yangu inanishauri usifanye au fanya hivi au achana nayo nikiitii hua na matokeo mazuri nikipuuzia hua matokeo yake sometimes najutiwa why sikifanya vile ninayofikiria hayatokei kabisaa ninaweza pia tukawa tunaongea jambo nikikuambia hili jambo hatutoboi ujue hatutoboi na hatufiki poppte tena tukijikwamua ndio mbaya zaidi
Sawa, binafsi nahisi huu ni ujumbe ambao pengine umefunuliwa kwa namna tofauti ila Umekuwa ukipuuza.

Nahisi Ujumbe unaopewa hapa ni kwamba unaouweza wa kiroho wa kuona tamati ya jambo fulani zuri au baya.

Kama ni mtu wa imani kabla ya kulala hakikisha umefanya maombi mazito kumuomba Mungu akufunulie kazi za hii nguvu uliyonayo.

Kuna uwezekano mkubwa matukio ya namna hii yakaendelea kujitokeza hadi pale utakapoelewa ujumbe unaoletewa.
 
Ni kweli ndoto sometimes ni kama CCTV Camera nakumbuka kuna siku kama miaka 8 iliyopita niliota ndoto Mama mwenye nyumba anamgawia mdogo wangu chakula pilau sasa dogo akaipokea ile pilau akaileta ndani akaiweka mezani Mimi nilipoiangalia ile pilau ikawa inatoa wadudu kama Mende weusi nikamwambia Dogo achana na hicho chakula kama una njaa tupike tu. Kweli baada ya miezi kadhaa ilikuwa sikukuu ya Idd yule Bibi akamuita dogo akachukue chakula, Dogo akaenda kuchukua Pilau ile akaniambia kuna menu hapa kutoka kwa Bibi Zai nikamwambia achana nayo nilishawahi kuota ndoto fulani kipindi cha nyuma. Dogo akaenda kumwaga kile chakula yule Bibi alinichukia sana hata salaam yangu akawa haitaki.
 
Kuna ndoto za aina mbili

Symbolic dreams - hizi huwa zinabeba hatima yako na ukiota zinahitaji kuchambua in symbolic language

Pia kuna ndoto imagination dreams ambazo hutokana na fikra zako na ukiota unakuwa unaota kile kinachoendelea ktk Mawazo yako au fikra

Fanya marejeo kupitia ndoto za Yusuph pale missri.
 
Kuna ndoto huwa inajirudia kwangu iko hivi, niloachana na BF wangu miaka 5 iliyopita. Kwa kweli ndio niliyempenda kwa moyo woote. Ila ndotoni kila ninapomuota naota yuko pamoja na maisha yanaendelea wakati tulishaachana miaka mingi kila mtu ana maisha yake ns familia yake. Why nisimuote huyu niliyenaye?
 
Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje.

Mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikishtuka kulipokucha sikuifatilia sana nikaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hiyo njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekuwa najiuliza hii sehemu niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nini?
Basi ndiyo hivyo kazi ya ndoto imekwisha. Siku ulipoota, ubongo wako ulikuwa unafikiria kwenda kutembelea eneo hilo hivyo ndoto ikakuambia utakwenda, na leo umetimiza lengo hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom