Hii ndoa inaanza kuwa ngumu kwangu, nawaza kufanya hivi

Umefikr kama anaweza kujua cku 1? Vip nae aktafta mchepuko na ukajua? Kukimbia tatzo sio kutatua kikubwa fkr namna kumaliza tatzo, ukiona haielewek mrudshe kwao akapumzke, badae akrd kila mtu ana hamu na mwenzake!

Michepuko hasara na gharama zaidi ya hizo za mkeo, bado kaswende, kisonono na kocha wao UKIMWI, hiyo ndo ndoa sasa, utamvumilia kwenye shda na raha je huoni kama unasaliti ulichokiapa kwa mungu siku ya ndoa?

By the way ndoa sio MCHEZO kama kubet!
 
Tunamlaumu bure Antony Lusekelo kumbe ni km alikuwa sawa tu....... hawa wanawake inabid kupiga p#mbu tu usiangalie kingine
 
Kwa kua upo kwenye ndoa mwenza pekee ambaye hatakua na gharama, utampata utakapohitaji, mkimya, anatii kila unachotaka, hatokugombanisha na mkeo, mkeo hatojua kama yupo ni Punyeto (tumia KY).
 
Alikuwa na hitaji la kuolewa, lilipotimia tu kazi yake ikawa imemalizika jumla. Hana habari na wewe tena!.....jipe moyo hata huko kwenye kipozeo bado hali itakuwa mbaya baada ya mda kupita. Nakushauri tulia, najua hicho kipozeo hutatumia kinga...hebu epuka matatizo zaidi, mvumilie mwenzio
 
Mkuu
Mimi kwanza nikupongeze kwa kuyatambua mapungufu ya mwenzi wako,
Pili, Ingawa tayari yaonekana ushaamua nini chakufanya, ila uamuzi huo utavuruga ndoa yako kabisa na ndoa ikishavurugika amani pia itatoweka, yakupasa uwe makini na maamuzi ambayo utayafanya hakikisha kwamba yatakupa wewe amani unayoitafuta pia yasimwathiri mwenzi wako, hamkuamua muishi pamoja ili wewe kuonesha ujabari wako inapobidi, hapana, ila mstawi, muya mudu maisha pamoja, mkileana na kutunzana pamoja na wale wote Mungu atakaowaleta maishani mwenu.

saikolojia yako inatakiwa iwe kubwa kuelewa na kupambanua nyakati, hali na tabia mbalimbali za mwenzi wako na watoto kwa ujumla na kutoa miongozo elekezi na mahususi ya ustawi wa ndoa na familia yako, kwahiyo, kama ushayatambua hapungufu yake ni wajibu wako kuyafanyia kazi lakini katika manufaa chanya ambayo yatakuwa na faida kwa wote ukiangalia sana ustawi wenu na maisha, mipango na mikakati yenu ya Mbele.
 
Mkuu vipi we huna kasoro? Ushawahi jitathmini? Au mshawahi tathmini ndoa yenu? Ushaongea na wasimamizi wa ndoa yenu?

NB:
Michepuko ina raha yake usije sahau ndoa
 
ULISHAKOSEA ASEE HILO NI CHAGUO LAKOO kuhusu mchepuko mimi hata siku ya harusi yangu nlikuwa na michepuko miwili ukumbini kwani kwenye phone book yako hakuna wanawake ? unaohis wanaweza kukufariji ? aaa unakera unaoa kitahira kiguu na njia sijui kasaita maana visaita vinapuyanga mbayaa
 
Mkuu, nahisi huyo mke wako Pengine ana undugu na huyu mke wangu, maana naona tabia zao zina fanana sana, kumbe tupo wengi aiseee..duuu
 
tafuta jinsi gani unawez mpuuza mambo yake,acha kuwa jirani nae sana au kuwa na unnecessary talks na yeye,yaani kama ni mishe unafanya mishe tuu alafu ukirudi unaongea nae kidogo tu mambo ya maana then inaenda kulala,baadaye anaweza badilika alafu hapohapo unamsend kwao kupumzika kama miezi 2 hivi,kwa lugha nyingine badilisha lifestyle yako,wanawake akishakujua ujanja na ujinga wako uko wapi wanasumbua sana,ni wazee wa shake well before use! Bora asikusome kabisa ukiamua kuchepuka chepuka ila pia uwe makini usije kulaza watoto na njaa
 
Mkuu, nahisi huyo mke wako Pengine ana undugu na huyu mke wangu, maana naona tabia zao zina fanana sana, kumbe tupo wengi aiseee..duuu
hao dawa yake usimkumbatie sana mambo yake,ukileta uzungu sana wanasumbua balaa,huyo anatakiwa asikusome vizuri some tyme yes sometym no,sio vizuri ila kila mwanamke ana style ya kuishi nae,hao wa baby kaa kule tuchambue mchicha pia akiwa muungwana mnachambua mchicha,ukimkuta mla ngada mpe ngada hvohvo ukimpa fegi hatakuelewa
 
Acha kuumiza kichwa..
Nani alikwambia mwanamke mmja anatosha..!!
 
Unataka niweke copy ya cheti cha ndoa mkuu ndo utaamin?
bora umesema copy kumbe huna cheti orijinal cha ndoa

KWENYE NDOA HILO NI TATIZO DOGO SANA NA LENYE KUVUMILIKA ndio maana nakushangaa ndoa ya miaka mitatu ulalame hivyo je wachanga watasemaje?
kitu cha kukushauri soma sana vitabu mkuu hasa vya mikasa utajiona wewe una bahati zaidi
na lingine USIWE MUWAZI SANA KWA MKEO HADI sh 100 yako lazima aijue

una elfu 10 muonyeshe elfu 5 hasa ukimgundua hana bajeti MKE ANAJENGWA NA WEWE MWENYEWE LABDA KAMA ULIOA GUME GUME
 
Kwanza kabisa kaa nae siku unayoona mnaskilizana kisha umweleze matatizo yake yote na umwambie ambacho umekua ukifkiria. Mwambie jinsi anavyokuumiza anavyofanya. Na umwambie unamjali na kumpenda na watoto ndio maana umeona uongee nae kwanza kama anaweza kuchange

Mpe muda wa kujikagua na kubadilika.

Kama ukiona hajaweza kabisa au amepuuza yote uliyomwambia nakushauri uombe msaada nje. Either kwa washauri wa saikolojia, watu wa dini au wasimamizi wa ndoa.

Nna uhakika kama mkeo anakupenda ataskiliza na kubadilika. Naamini mkiwa mnapendana hakuna anaependa kumuumiza mwenzake. Kama bado hayo yote hayasaidii nafkiri mkeo atakua na shida kubwa zaidi.
Inaonekana amebweteka flani baada ya kuolewa ndio maana hajali chochote. Mpe muda wa kubadilika na endelea kumwelekeza taratibu.
Pia unaweza kuongea na wamama watu wazima wenye hekima wamfundishe kuhusu kuomba msamaha heshima na mambo mengine. Ajue nyie ni mwili mmoja na mna lengo moja la kupata maendeleo na ni yenu na watoto, ili aache kua selfish.
 
Alikwambia mke zaidi ya mmoja wanapunguza stress ni nani??? Kama huyo mmoja anakutia wazimu????

Unachopaswa ni kuchukulia madhaifu yake na mengine kuyacontroll

Sio kila mtu anaweza kusema samahani.....kama ndio njia yake ya kuomba radhi ukiichukulia poa unachubuka???

Pes kama ni mfujaji si ndio uzicontroll??? Faida ya kuwa wawili ni nini kama hili linakushinda???

Hilo la kuzurura kama kala miguu ya kuku mpige biti. Na mpe muda kuwa ikifika saa fulani hajarudi timbwili lake akaite kijiji kizima.

Sijaona chochote kikubwa chaiuona ndoa chungu hapo...unless unataka kuhalalisha michepuko
 
Back
Top Bottom