Hii ndo Breakfast sio hicho kipande cha mhogo na uji wa dona

Moja ya nidhamu nimejijengea baada ya ku hit mid 30's ni kutokula kula hovyo.
NIna siku 2 katika week ambao
Siku 1 sigusi kitu chochote for 24 hrs
Siku 1 nakula only once (jioni) katika saa 24.
Kwa week 1 na make sure nimekula 1kg ya nyama
Mboga mboga sana
Maji mengi sana
100kms walk per week
Heavy weight lifting daily
 
Back
Top Bottom