Hii ndiyo sababu iliyomfanya huyu dada atengwe na kanisa

Mtaishi katika shida na raha mpk mauti itakapowatenganisha ,leo mwenzako anashida ya naniiii mnatengana, maajabu haya
 
Ni kweli. Ila kwa wakatoliki hao hao kama mwanandoa mojawapo ana mtoto ambaye alimficha ikaja kugundulika, ndoa ni batili. Pia kama mmoja alidanganya na kumbe ana tatizo kwenye kizazi. Mfano mwanamke aliwahi kung'olewa kizazi au mwanamume ni hanithi.[/QUO
Loh kumbe ukiwa na dhambi haupaswi utoe sadaka wala kushiriki katika maombi?
ndio maombi ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za Mungu na pia ujue sadaka ni kiunganishi cha mtu na Mungu
 
Moja ya sababu zinazopelekea ndoa ya kanisani hasa ya kikatoriki kuvunjwa ni mmoja wa wanandoa kutokua na uwezo wakufanya tendo hiyo ndoa ni batili na kanisa linaivunja! labda walokole ndo awavunji!
 
Moja ya sababu zinazopelekea ndoa ya kanisani hasa ya kikatoriki kuvunjwa ni mmoja wa wanandoa kutokua na uwezo wakufanya tendo hiyo ndoa ni batili na kanisa linaivunja! labda walokole ndo awavunji!
 
Back
Top Bottom