Hii ndiyo akili ya mpinzani :anaihujumu serikali Yake ili aingie madarakani,hii ni ajabu sana

Ebu ona maoni ya MTU kama huyu:....Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.......

Ndiyo maana nchi za Africa yaziwezi kuendelea ikiwa akili ya mpinzani iko hivi!!!
Unaihujumu serikali Yako ili uingie madarakani kuiendeleza nchi uliyoihujumu!!! Akili za maskini kabisa!!! Mfano Leo mnatetea wenye vyeti feki ili kuihujumu serikali, Leo mnatetea waliyotumbuliwa ili kuihijumu serikali, Leo mnaponda ununuzi Wa ndege ili kuihujumu serikali, Leo mnashinda misibani ilikuihujumi serikali, mnaponda ujenzi wa reli na flyover ili kuihujumu serikali ...........shame on you guys!! Nendeni mkachunge ng' ombe kama mlivyoahidi pindi mkishindwa uchaguzi!!! Mwacheni rais wetu afanye kazi kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu!! Mnapohujumu nchi na serikali wanaoumia ni watoto Wa maskini.watoto wenu mnawasomesha kwenye international schools na kuajiriwa BOT ,wengine mliwachongea vyeti feki ndo maana mnawatetea!!! Ewe mtanzania mzalendo Wa kweli anayekuua ni mpinzani uchwa anayeihujumu serikali Yako!!! Anayekufanya maskini siyo serikali Yake Bali ni mpinzani anayeihujumu serikali yako ili aingie madarakani kuindeleza nchi aliyofanya kuwa maskini!! Zinduka!!

Hizi ni akili za kina le mtumboz ndugu yake el bashite

Ccm wanavyotumia Mali za uma hovyo hovyo ni sahihi
 
Akili za CCM wanatumia rasirimali za watanzania wote kufanikisha mambo yao ya siasa. Hivi misafara ya chama chenu inavyotumia magari ya serikali na taasisi za umma siyo hujuma kwa nchi yetu kweli?

Mbowe anatumia gari gani kufanyia shughuli zake za kininafsi?
 
Unasikia raha gani kwa watu kufukuzwa wakati wamekaribia kustaafu?
Na kuna wengine pamoja na kuwa na vyeti vyeki walikuwa wanapewa A katika Opras.
Wakulaumiwa ni serikali kwa kuajiri bila kuchunguza vyeti.
 
Umesahau kuwa waliyoshiriki ufisadi huo hujuma hizo wamekimbilia kwenu na ndiyo sasa wasemaji Wa chama chenu.unakumbuka mwasisi Wa Richmond? Yuko wapi kwa sasa? Unakumbuka mwasisi Wa wizi Wa Ranchi ? Yuko wapi kwa sasa? Ficha aibu yako!!!
Hii roboti hata haijiuliza mbona watu wenyewe hata kinga hawaoni lakini wanashindwa kuwashitaki.
 
Ebu ona maoni ya MTU kama huyu:....Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.......

Ndiyo maana nchi za Africa yaziwezi kuendelea ikiwa akili ya mpinzani iko hivi!!!
Unaihujumu serikali Yako ili uingie madarakani kuiendeleza nchi uliyoihujumu!!! Akili za maskini kabisa!!! Mfano Leo mnatetea wenye vyeti feki ili kuihujumu serikali, Leo mnatetea waliyotumbuliwa ili kuihijumu serikali, Leo mnaponda ununuzi Wa ndege ili kuihujumu serikali, Leo mnashinda misibani ilikuihujumi serikali, mnaponda ujenzi wa reli na flyover ili kuihujumu serikali ...........shame on you guys!! Nendeni mkachunge ng' ombe kama mlivyoahidi pindi mkishindwa uchaguzi!!! Mwacheni rais wetu afanye kazi kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu!! Mnapohujumu nchi na serikali wanaoumia ni watoto Wa maskini.watoto wenu mnawasomesha kwenye international schools na kuajiriwa BOT ,wengine mliwachongea vyeti feki ndo maana mnawatetea!!! Ewe mtanzania mzalendo Wa kweli anayekuua ni mpinzani uchwa anayeihujumu serikali Yako!!! Anayekufanya maskini siyo serikali Yake Bali ni mpinzani anayeihujumu serikali yako ili aingie madarakani kuindeleza nchi aliyofanya kuwa maskini!! Zinduka!!
Rais hawez jenga nchi ww, nchi tunajenga wote watz na rais wetu, koma kumpa mzigo wa kumwachia rais ajenge nchi peke yake, tena ukome ukomae.
 
Umesahau kuwa waliyoshiriki ufisadi huo hujuma hizo wamekimbilia kwenu na ndiyo sasa wasemaji Wa chama chenu.unakumbuka mwasisi Wa Richmond? Yuko wapi kwa sasa? Unakumbuka mwasisi Wa wizi Wa Ranchi ? Yuko wapi kwa sasa? Ficha aibu yako!!!
Kwahiyo huko aliko hawezi shtakiwa?
 
Akili za ovyo sana hizi. Na ccm ikishindwa nayo utakuta inaanza kufanya mipango kuihujumu sirikali ya Chadema au cuf. Tanzania Kwa mwendo huu haiwezi kufika popote.
 
Ebu ona maoni ya MTU kama huyu:....Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.......

Ndiyo maana nchi za Africa yaziwezi kuendelea ikiwa akili ya mpinzani iko hivi!!!
Unaihujumu serikali Yako ili uingie madarakani kuiendeleza nchi uliyoihujumu!!! Akili za maskini kabisa!!! Mfano Leo mnatetea wenye vyeti feki ili kuihujumu serikali, Leo mnatetea waliyotumbuliwa ili kuihijumu serikali, Leo mnaponda ununuzi Wa ndege ili kuihujumu serikali, Leo mnashinda misibani ilikuihujumi serikali, mnaponda ujenzi wa reli na flyover ili kuihujumu serikali ...........shame on you guys!! Nendeni mkachunge ng' ombe kama mlivyoahidi pindi mkishindwa uchaguzi!!! Mwacheni rais wetu afanye kazi kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu!! Mnapohujumu nchi na serikali wanaoumia ni watoto Wa maskini.watoto wenu mnawasomesha kwenye international schools na kuajiriwa BOT ,wengine mliwachongea vyeti feki ndo maana mnawatetea!!! Ewe mtanzania mzalendo Wa kweli anayekuua ni mpinzani uchwa anayeihujumu serikali Yako!!! Anayekufanya maskini siyo serikali Yake Bali ni mpinzani anayeihujumu serikali yako ili aingie madarakani kuindeleza nchi aliyofanya kuwa maskini!! Zinduka!!
mbona husemi khs rambi rambi kuwa sehemu ya govt revenue?
 
kwanza serikali ya CCM ni ya makada tu sio watanzania wote..ndio maana yule kil.az wenu
alisema..
"HAKUNA MPINZANI ATATIA MGUU KWENYE SERIKALI YANGU"
naomba pia niulize..
*akili ya mtawala anaeteka na kuuwa raia wake akitumia hadi usalama wa taifa kufanya umafia..anaekula kiapo eti atakaepita mbele atakiona cha mtema kuni*
ivi akili ya uchwara kama huyu ni ipi ?
 
Ulitaka isifiwe hata km iko hoi ? Mkataba na Eu umesikia mpinzani kasema vibaya ? .
 
Back
Top Bottom