Hii ndio noti ya dollar trillioni 100

laki moja ya tanzania sawa na mahela mangapi zimbambwe?
mfanyabiashara kama unataka kufilisika nenda kapige biashara.
 
Waafrika sijui kwanin tunawapatikia wazungu.Mugabe angeshirikiana na Africa na Asia asingefika huko .wamerekani na wazungu ni wapuuzi sana wanatakiwa wapewe somo kwani ukigusa maslahi yao watakuwekea viZingiti.mataifa kama China,waarabu na waafrica mnaweza Fanya biashara na wazimbabwe
Kwani tatizo la zimbambwe limeanza leo? Mbona hao ulio wataja wameshindwa kumsaidia muda wote huo?? Hao wachina wao ndio kabisa!! Bora hata wazungu
 
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
We chizi nini? Kwani kuna nchi inaitwa Dollar? Hiyo ni Zimbabwean dollar.., na ya marekani ni US dollar. Ni kama Kenyan shs. na Tanzanian shs.
 
Habari zenu wadau,

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.

View attachment 504315

update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.

100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar

na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.
Mkuu ila hiyo haifanyi kazi tena kama miaka mitatu sasa wanatumia USD na South Africa RAND kama pesa yao nilipita kwenye barabara zao kutoka beitbridge-livingstone toll gate tulilipa kwa USD
 
Mkuu ila hiyo haifanyi kazi tena kama miaka mitatu sasa wanatumia USD na South Africa RAND kama pesa yao nilipita kwenye barabara zao kutoka beitbridge-livingstone toll gate tulilipa kwa USD
yeah ni kweli mkuu, wameamua ku adopt USD, ila ubaya ni kwanza marekani atakuwa ana wa exploit sana. maana jamaa ili kuzuia dollar flight watajikuta wanalipia premium bila ya kupenda. ku adopt pesa ya high economy nation ni kifo cha kujitakia hasa ukiwa nchi maskini.
 
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
Uko sahihi hii chai asee hela ya Zimbabwe iandikwe dollars? eti ni sawa na tsh 850 haaaaaahaaaaaaaa trillioni 100 iwe chini ya hii buku yng nlonayo mfukoni?
 
:D:D nawaza tu mfano mtu anayenunua labda iPhone 6 si utaakuwa msala mkubwa sana kwa cashier kuhesabu hizo hela
 
Kwahiyo nikitaka kununua bia moja ya Castle Lager ni kitu kama trilioni tatu!!!!!
 
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
Nasreen akianza shule halafu mitihani yake akiwa anajaza madudu utaweza hata kumuonyesha anapokosea?
Utakua unamtambia kua umemzidi akili?
 
We chizi nini? Kwani kuna nchi inaitwa Dollar? Hiyo ni Zimbabwean dollar.., na ya marekani ni US dollar. Ni kama Kenyan shs. na Tanzanian shs.
Ni pale jf inapoingiliwa na watu wenye mtindio wa ubongo, nini kimekupelekea kuniita chizi bila uhakika wa ukisemacho? Kuwa makini km ulisoma elimu ya watu wazima jifunze kuongea kwa factor utaeleweka kuliko hizo vapour zako
 
Habari zenu wadau,

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.

View attachment 504315

update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.

100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar

na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.

Update 2:

Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).
Mzee uchumi kaukwamisha ila kagoma kukaa pembeni, ni presdaa hadi kwa jeneza, kweli huu ni msimamo mkali.
 
Back
Top Bottom