Hii ndio nguvu ya mziki kama ulikuwa hujui

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
"Najua wajua nami nakujuza wewe unayetaka kujua mengi ya dunia, kama ulikuwa hujui nguvu ya "uimbaji" basi hii inakuhusu.

"Victor Ivanovich nikitin huyu ni askari ambaye wakati wa vita vya pili vya dunia, alikuwa akiimba vita baina ya jumuiya ya Soviet na Ujerumani, vinasimama ili kusikiza yeye akiimba.

Na Baadae akimaliza tu, kinawaka tena"ndio yaani hata askari akiwa na mjegejo wake anatulia tuli, hadi Mr.Victor amalize kuimba.

Chezea muziki bhana, Ahahahaha najua utabisha tu. Google, Victor Ivanovich Nikitin.
 
Hata bi. Kidude alikuwa akiimba baraza la wawakilishi la Zanzibar lilikuwa linasimama mpaka amalize kuimba. Kwahiyo mi sibishi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…