Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
16,464
35,703
IMG_20240731_165852_765.jpg
IMG_20240731_170326_375.jpg

Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika

1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo
2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
 
View attachment 3057755View attachment 3057756
Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika
📌Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendele o

📌 Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
Baada ya 5imba day, kutafuata maumivu mfululizo..!!
 
Back
Top Bottom