ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,547
INATISHA NA KUSIKITISHAView attachment 464576 amakweli kuna watu hawana haya, ni wendawazimu
INATISHA NA KUSIKITISHAView attachment 464576 amakweli kuna watu hawana haya, ni wendawazimu
Tukiwa naye au tusiwe naye; CDM itafanya vizuri uchaguzi ujao hasa serikali za mitaa zitatupndisha sana.Kama ilivyokuwa kwa Mrema hatimae ni zamu ya Lowassa kuporomoka kisiasa.
Uchaguzi mdogo wa juzi umeonesha kuwa huyu mzee si lolote.
Namshauri atangaze kustaafu siasa maana aibu ya karne itakuwa kushindwa vibaya kwa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mtoe zito kwenye hiyo orodha haraka sana!!! Kijana mbichi unamuweka kwa wafu wa kisiasa??
Style na Sera zake zimezeeka! Hana tofauti na hao niliokwisha wataja hapo!Mtoe zito kwenye hiyo orodha haraka sana!!! Kijana mbichi unamuweka kwa wafu wa kisiasa??
Jibu swali kama ulivyoulizwa mkuu, acha mipashohachana na hizi hoja mfu za tundu lissu, mbona urais mnaposhindwa hamji na hizi hoja nyepesi kuwa mlikuwa mnatetea kushindwa kwa kuwa hamkuwahi kuwa na rais???
Silaa ulisha joka we kula miogo ugaibinUpumbavu mtupu halafu avatar" philosopher" haiendani na usheikh yahya wako.
Umwambie yule bosi wako wa kule mto ngono katika kijiji cha katerero aachie fair play ground ajipime ubavu na huyu unayehangaika naye kwa miongo. Mwambie huyo atoke mtoni akutane na mwenzie kwenye uwanja wa siasa. Mwambie aache kupiga katerero demokrasia ya TZ ndio apime maji.
Mrema alikuwa hana kitu alikuwa na njaa sana,pia watanzania wengi hawakuwa wakijua kuwa CCM inashinda kwa mbinu za kuiba kura, Rushwa na uchakachuaji.Kama ilivyokuwa kwa Mrema hatimae ni zamu ya Lowassa kuporomoka kisiasa.
Uchaguzi mdogo wa juzi umeonesha kuwa huyu mzee si lolote.
Namshauri atangaze kustaafu siasa maana aibu ya karne itakuwa kushindwa vibaya kwa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ufisadi upo kwa Msajili kumpa Lipumba ruzuku ya CUF kwenda kutolea pesa uchochoroni Temeke wakaenda kugawana gheto,kama ni ufisadi upo CCM maana sasa wanatumia pesa za Umma kuwadhoofisha Wapinzani,mabilioni yanachotwa hazina kwa ajili ya kuua CUF kudhoofisha ukawa,huku Lugumi akiishi nyumbani kwako kwa raha zake.Nimesoma mahali humu mtandaoni eti kuna mtu alilipwa/anapewa tsh 200 mil za ruzuku eti kwa sababu amesababisha CDM ipate wabunge wengi na hivyo hupata kitita kikubwa cha ruzuku. Kama habari hi ni kweli, basi ni kweli pia kuwa ufisadi ni kama kansa, husambaa. Ama mtu fisadi huwa hana haya wala huruma anapo taka kufanya jambo alilo lizoea la kifisadi.
Wafu kivipi? Yaani mmeleta Udikteta kuzuia mikutano ya siasa kisha unakuja na Uzushi kuwa kuna wafu. Kama mnataka kujua mfu na aliye Hai ruhusini mikutano ya siasa muone balaa.Mtoe zito kwenye hiyo orodha haraka sana!!! Kijana mbichi unamuweka kwa wafu wa kisiasa??
Kuna dogommoja wa CCM pale lushoto kasema hapa JF ana ID karibia 20, nikamuuliza za nini zote hizo? Akasema ndivyo walivyoambiwa, wawe na ID nyingi zaid ili wafanye yao, hahahahah, najua umenielewa.Naona mnajitekenya na kujichekesha as if ukweli hamuujui
Kama ilivyokuwa kwa Mrema hatimae ni zamu ya Lowassa kuporomoka kisiasa.
Uchaguzi mdogo wa juzi umeonesha kuwa huyu mzee si lolote.
Namshauri atangaze kustaafu siasa maana aibu ya karne itakuwa kushindwa vibaya kwa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Sijui kama wengi tunaweza kuwa na akili ya kuona mbaliNilishawambia makamanda kuwa huyu mtu tuliomchukua ataleta faida ya mda mchache na atabakiza hasara ya kudumu ndani ya chama mda utaongea
Hana uhuru wa siasa wapinzani wanabanwa pia kwenye upigaji kura polisi wanawatoa mawakala wa upinzani pindi wakionyesha misimamo kwenye wizi wa kura, kiti kinapokonywa kwenye wizi wa kura?Suala sio kushikilia,kama mna impact yoyote katika jamii mnashindwaje hata kupokonya kiti kimoja cha ccm? Mlikuwa na viti 2 kimoja tumewala,unasemaje sasa?