Hii mpya! Katibu Mkuu CHADEMA kuiga ya Rais Magufuli

Count down inaendelea kuelekea kwenye tukio bora kabisa nchini tarehe 23 July.

Captain Mstahafu yeye kaenda Kenya kupokea saluti ili kupoza machungu.
 
Chadema ishabakia vilaka ndugu
Hao wanao kujibu
Woote NI Vibendera vya Mbowe
 
Wanabodi,

Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa na chama chetu.

Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T

Hoja zenyewe ziko hivi:

Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.

Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?
Nakushauri ukamuone dr manyaunyau atakutibu matatizo yako
 
Back
Top Bottom