Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Teh teh..Ebu tupe mwongozo wa hayo maombi..
Ni mfungo wa siku tatu mfululizo, huku tukikesha kwa maombi kanisani, na inabidi wapendwa wote wawepo. Ukumbuke pia tunapambana shetani asije kuturubuni, ndiyo maana nimetoa tahadhari mama mchungaji Evelyn Salt asije na ile mikato yake maombi yakatushinda.