Hii mimba itakuwa ya nani?

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,471
1,506
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
 
Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe3 mwezi wa pili tarehe13 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2
Tarehe18 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote.
Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Mwambie atulie ajifungue then akapime DNA na kijana A kisha na kijana B atajua mtoto ni wanani, Asante.
 
giphy.gif

Ila mabinti 🤦🏽‍♀️
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.
Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe3 mwezi wa pili tarehe13 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2
Tarehe18 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote.
Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?
Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁

Huyo rafiki japo ndo wewe Ila itapendeza mtoto akizaliwa upime DNA ili kuujua ukweli

Maana haipendezi mtoto mmoja kuzaliwa na Baba zadi ya mmoja japo ndo mfumo uliopo mtaani kwa sasa
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe3 mwezi wa pili tarehe13 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe18 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
siku unaenda kukutana ungetujulisha tukakupa ushauri now its too late tunakuombea ujifungue salama safari ya miezi9 c mchezo,pamoja na principles zako wajanja wamekuotea
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe3 mwezi wa pili tarehe13 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe18 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Angalia mwenye hela umsingizie hiyo mimba, wanaume wengi hawajui umuhimu wa DNA.
Kataa ndoa wanapata ushindi kila siku.
 
Hiyo mimba ni yake kwa asilimia mia.

Kama alitumia p2 atafite usaidizi kwa wote wawili.
Ahudhurie clinic mbili tofauti kila mmoja ampeleke kwake.

Siku ya kujifungua asafiri mkoani akajifungue. Aandikishe cheti cha mkoani na akija Dar aandikw kingine.

Na life liendelee.
Ko inawezekana p2 ilimsaliti
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Awasiliane na wakala wa serikali wa mimba MIMBSA
 
Back
Top Bottom