Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,272
Madam mzima? Swali mnachagua dini yakufuturia nayo maana sisi hatuchaguagiKikawaida futari haialikwi.
Zamani tulikua tunatandika nje Kariakoo tunafuturu, anaepita anakaa na yeye anafuturu, hakuna kualikana.