meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,189
Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa.
Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha.
Kualika wasanii nyumba kubwa ilikuwa ina maana gani? Sio tu kwamba wengi wanamudu kupata futari ila wengine ni Wakristo sasa inamaana gani? Ama justification ya kufanya hivyo ni nini labda? Maana ukiwaza sana hakuna labda maandalizi ya 2025?
Au hata bora ingekuwa ni kwa ajili ya fund raising kwa ajili ya kufuturisha wasiojiweza ila sio kiukweli inafikirisha. Haya juzi kuna Wizara imefuturisha staff wake na viongozi, what for? Spending money on people who have money?
Kuna watu wasiojiweza I’m sure hawahitaji hata hizo futari za anasa yaani wao ukiwapa tambi, maharage na mihogo chai na uji wanashukuru zaidi ya hao mnaopeana ma buffet!
Wabunge, Mawaziri na you know who, it’s the small things that count, hawa maskini mnaowageuzia migongo sasa hivi si ndio hawa hawa a couple of months ahead mtaenda kuwahadaa na kanga na Tshirt wawape kura 2025?
Mtajitetea kuwa mnatoa sadaka hamsemi ila kwanini hizi mnazoalikana tunaziona tena mnaita waandishi?
Nimeona nyingine tena eti wameitana kufuturu ili wachangishane hela kwa ajili ya wasiojiweza, ko muitane mlee, mvimbiwe, mabaki muwape maskini? Yaani nyie mfanye big events in big venues ili kesho muonekane mnawapa watu kiroba cha tambi na maharage baada ya nyie kufuturu kwa anasa?
Hebu badilikeni bwana maana imeshakua trend sasa. Ya’ll can do better than that na mnajua it doesn’t please God. Sadaka safi ni ile ya kuwapa maskini, yatima na wajane sio kutoa mfuko wa kushoto na kuhamisha wa kulia.
Kwa sie wenye experience za kuishi na kufanya kazi vijijini, unakuta familia imefunga jioni wanafuturu ugali na dagaa au mihogo ya kuchemsha na uji na wanashukru Mungu kwamba angalau wamepata, ila ukija kwa viongozi wao wana kazi ya kualikana leo kwa huyu kesho kwa yule.
Mashekhe ndio usisema, Ramadhani nzima yeye kila siku anabadili kanzu tu mialiko haiishi lakini wanasahau maskini wasiokuwa hata na uhakika wa futari.
Jamani eeeeeh badilikeni!