Kunusana kama madoggy sio mpangoUsihofu, we jaribu tu ili upate ukweli ukija uliza hapa utadanganywa na kuchanganywa bure. Vipi, unamuogopa mkeo nini, usiwe muoga kihivyo ndugu yangu.
KikojoleoAnuswe nini muanzisha uzi?
Haahha sabuni za guests zote hapa mjini ni eva Asante kwa kunipa hiyo taarifa mimi nilikuwa bado sijagunduaHata kama kaoga lazma amebaki na kaharufu ka sabuni ya EVA
Kama kitumbuaHahahahahaha harufu ya papunch ikoje kwan
Lazima utapauka usoni...mafuta ya nyumbani nayo utakuwa nayo?Nijikute nachepuka alafu naogea Eva huwa nanunua sabuni inayofanana na ninayotumia home mii sii fala
Huyo wife na yeye lazima awe mtaalamu wa kuchepuka katika guest hizo hizoKisabuni cha Gest hata uogee vipi harufu ya ku du haiishi mpaka ukaoge nyumbani tena,wife alijua tu atakushikia hapo.
Zooote sabuni ni EvaHaahha sabuni za guests zote hapa mjini ni eva Asante kwa kunipa hiyo taarifa mimi nilikuwa bado sijagundua
Evelyn we ni mkali
Inaacha kuzitumia kwa kweli
Ha!haa!haaa! Wewe utakuwa na uzoefu sana na nyumba za kulala wageni. hiyo sabuni ni komoni sana huko.Hata kama kaoga lazma amebaki na kaharufu ka sabuni ya EVA
mkuu wachepukaji wabobezi wanatembea na sabuni, mafuta/lotion na perfume/body spray wanazotumia nyumbani.Hata kama kaoga lazma amebaki na kaharufu ka sabuni ya EVA
Kuna rafiki yangu hapa ananiambia ukitoka kufanya unabaki na harufu kama ya mchanganyiko wa ukwaju na vitungu swahumu duh inabidi nifanye researchHahahahahaha harufu ya papunch ikoje kwan