Hii imeniuma sana na itamuuma mtanzania yeyote

KWA HIZI KOMENT CHACHE NILIZOZIONA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI NI WAPIGAJI NA HAWANA MENTALITY YA SOLIDARITY NA KUTHAMINIANA NI VILE WANAKUWA HAWAJAPATA CHANCE TU.

BASI HII NCHI TUNA SAFARI NDEFU SANA MPKA KUIFIKIA NCHI YA AHADI YENYE MAZIWA NA ASALI.
UƱataka solidality ya. Umbea?
 
Uislamu bana

Uislam mwema sana:

Q. 49:12. Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu. 12
 
KWA HIZI KOMENT CHACHE NILIZOZIONA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI NI WAPIGAJI NA HAWANA MENTALITY YA SOLIDARITY NA KUTHAMINIANA NI VILE WANAKUWA HAWAJAPATA CHANCE TU.

BASI HII NCHI TUNA SAFARI NDEFU SANA MPKA KUIFIKIA NCHI YA AHADI YENYE MAZIWA NA ASALI.
Ndo unagundua leo!? Pole sana kwa kuchelewa kufanya ugunduzi mdogo kama huo.

Watanzania ni mazezeta, wewe ukipata gap la kupiga bamiza pita hivi. Maana ukijifanya mwema na mwenye shauku ya hiyo nchi ya ahadi sisiem watakupiga matukio na propaganda, utachafuliwa mpaka hao watz unaowapambania watakuona takataka na adui wa nchi.

Watz hupenda watu wachafu zaidi kuliko waadilifu.
 
Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.

Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza kuwasikia.

Haya maneno niliyasikia Kwa masikio yangu na iliniuma sana.
Jamaa mmoja alimwambia mwenzake hivi.

"KULE MIMI KILA SIKU NAPATA SIYO CHINI YA 180K NA UZURI KULE HAKUNA AUDIT"

Jamani labda mimi nilielewa vibaya, nambie wewe ukisikia sentence hii nini kinakuijia kichwani?

Hiyo gari ni cruiser nyeupe plate number inasoma STL
Zamani nilikuwa nasikia: "kazi fulani nzuri kwa sababu ina marupurupu mengi". Baadaye nilikuja kujua kwamba waliokuwa wakisema hivyo walimaanisha "kuna mianya mingi ya kuiba pesa." Hivyo, watu wanapenda sana kufanya kazi sehemu wanakoweza kuiba pesa. Lakini pesa ya wizi haikupi heshima, wala kukufanya ujisikie kwamba umefanya kazi nzuri, maana moyoni mwako unajua "ni pesa ya wizi, ya dhuluma." Heri nife maskini kuliko kujenga mahekalu kwa pesa ya wizi/dhuluma. Na hao walioiba/waliodhulumu hawawezi kufa kwa amani, watahangaika sana.
 
Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.

Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza kuwasikia.

Haya maneno niliyasikia Kwa masikio yangu na iliniuma sana.
Jamaa mmoja alimwambia mwenzake hivi.

"KULE MIMI KILA SIKU NAPATA SIYO CHINI YA 180K NA UZURI KULE HAKUNA AUDIT"

Jamani labda mimi nilielewa vibaya, nambie wewe ukisikia sentence hii nini kinakuijia kichwani?

Hiyo gari ni cruiser nyeupe plate number inasoma STL
Jf siku hizi imekuwa ya hovyo sana
 
KWA HIZI KOMENT CHACHE NILIZOZIONA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI NI WAPIGAJI NA HAWANA MENTALITY YA SOLIDARITY NA KUTHAMINIANA NI VILE WANAKUWA HAWAJAPATA CHANCE TU.

BASI HII NCHI TUNA SAFARI NDEFU SANA MPKA KUIFIKIA NCHI YA AHADI YENYE MAZIWA NA ASALI.
Wange support ungesema tena wana chuki na matajiri
 
Ndo hivyo wizi mwingi CAG itakua anakula nae, haiwezekani ule hiyo hela kila siku alafu usishtukiwe au labda wanaendesha miradi chini ya ubora unaotakiwa
 
Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.

Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza kuwasikia.

Haya maneno niliyasikia Kwa masikio yangu na iliniuma sana.
Jamaa mmoja alimwambia mwenzake hivi.

"KULE MIMI KILA SIKU NAPATA SIYO CHINI YA 180K NA UZURI KULE HAKUNA AUDIT"

Jamani labda mimi nilielewa vibaya, nambie wewe ukisikia sentence hii nini kinakuijia kichwani?

Hiyo gari ni cruiser nyeupe plate number inasoma STL
Kodi za umna zinaliwa wakati bi tozo kalala.
 
Ndo hivyo wizi mwingi CAG itakua anakula nae, haiwezekani ule hiyo hela kila siku alafu usishtukiwe au labda wanaendesha miradi chini ya ubora unaotakiwa
CAG hata tusimsingizie.

Hayo ndo mauchafu anayaweka wazi kila mwaka, lakini wanaotakiwa kuchukua hatua ndio hutowaona wakijitokeza
 
Back
Top Bottom