Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Gatabhanya

JF-Expert Member
Nov 16, 2024
1,929
3,761
Habari,

Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.

Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.

Je, haiwezi kuathiri ndoa?.

Uzi tayari
 
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali katoliki yeye mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya uislam mume anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.

Uzi tayari
Ndoa ni unganiko la wawili wapendanao. Dini ni upuuzi tu made by a man
 
Habari,

Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.

Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.

Je, haiwezi kuathiri ndoa?.

Uzi tayari
Kwani dini ni nini? Jibu la haraka ni Imani au itikadi fulani hivo si ajabu. Siyo lazima wote wawe na fikira na mtizamo mmoja.
 
Habari,

Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.

Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.

Je, haiwezi kuathiri ndoa?.

Uzi tayari
Ya kaisari muachie kaisari ya Mungu mpe mungu!
 
Kwa mfano mke akiwa anapenda nguruwe na mume ni muislam huoni hapo kutakuwepo na shida?
Haiwezi kuwa shida kwa sababu kabla ya ndoa wote walijua hilo. Kwani hakuna wanaume wa kiislam au wanawake wa kiislam ambao wanadate? Na wanakuta wakati mmoja ametoka kula kitimoto na wana kiss? Hakuna waislam ambao ni wapish au Machef wanao andaa PORK kwa ajli ya wateja wao? Hakuna waislam wanasave Wine na pombe kwa wateja wao?
Hivo mimi sioni shida yoyote hebu chukuwe mfano wale great great grandfather ambao walifariki kabla ya ukristo na uislam kuingia nchini kwamba wao hawana tena nafasi huko peponi au mbinguni kweli?
 
Mi naona sio sahihi hata watoto watashindwa waabudu hapo ndo unakuta kwenye familia wengine wanasali kiarabu wengine kiebrania
 
Back
Top Bottom