Hii imekaaje Rais Trump kupenda sana matumizi ya twitter

Trump hapo twita na fesibuku ndo kimbilio lake la kufikisha ujumbe kwa umma kwa vyombo vya habari karibia vyote vilimsaliti na kwenye mkutano na CIA alidokezea kuhusu unafki wa vyombo vya habari....so anaamini zaidi social media kuliko cnn na bbc
 
wana jamvi

salaam

Kuna wakati fulani katika kampeni za Urais wa Marekani, Mke wa Rais wa sasa wa Marekani Bi Melania Trump aliulizwa na CBS news network kwamba ni kitu gani angemshauri RaisTrump mara atakapo apishwa? akajibu atamshauri apunguze matumizi ya mtandao wa twitter , sasa tangu Rais Trump ameapishwa mara nyingi amekua akitumia mtandao wa twitter katika shughuli za mbalimbali mfano katika taarifa yake ya ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico alimjibu Rais wa Mexico kwa kutumia twitter, alivyozungumzia biashara ya coca cola akapost katika twitter, vilevile alipozungumza na idara yake nyeti baada ya muda akatumia twitter,pia alitoa pongezi kwa Waziri wake wa ulinzi alipomteua Jenerali Mattis, sasa nauliza wajuzi wa masuala ya mawasiliano ya viongozi hii imekaaje?
Iko powa sana.Sababu wafuasi wake na hata wasiowafuasi wanajua ni wapi kwa kupata taarifa toka kwa the man himself. Na sisi tumshauri Rais wetu aanzishe utaratibu kama wa Trump
 
Back
Top Bottom