kaburunye
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 672
- 79
Wakuu:
Letter head ya mawasiliano ya ikulu inaonyesha kuwa email yao wanayotumia kwa ajili ya mawasiliano ni ya yahoo (E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com). Jamani hivi hii imekaa sawa kweli. Mi siyo mtalaamu wa IT lakini nilitegemea serikali haiwezi kutumia email kama ya watu wa mtaani. Kama tu makampuni makini hayawezi kutumia yahoo, hotmail and the likes kwa official communications inakuwaje serikali yetu inachukulia jambo la mawasiliano ya ikulu kirahisi hivyo. Halafu eti wanashangaa inakuwaje siri zao zinavuja. I think it is very easy to hack yahoo emails.