Hii application ya true caller imenyima raha siku ya leo

Kwanza we mwongo unaombwa picha unadai unatumia kitochi, unabananishwa unakua mpole tutaaminije hiyo hadithi yako kama ina uhalisia??
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu... Nimetoka zangu kuoGa kurudi chumbani nakuta kuna missed call katika simu yangu ya mkononi katika kuifungua nikakuta ni new number...

Nikataka kujua ni nani hasa alienipigia simu...nikaipiga ile namba kupitia applicatioN ya true caller katika kuita likatokea jina " MUATHIRIKA "... Moyo ukanienda mbio sana.. Nikasema hii haitoshi nikaenda katika tiGo pesa kuchunguza kiundani zaidi atakuwa ni nani huyu mtu kuangalia nikakuta jina nalifahu....

Jina nila binti fulani iviii nilifanikiwa kulala nae nikiwa chuo na siku iyo nilipiga ile kitu inameza nyenzake bila kinga yaaanii ilikua nyamanyama... Kama mnavyojua jamani ile kitu ikiwa original inakua tamu zaidi kuliko ukivaa soksi.... Afu kwa miezi mitatu ivi afya yangu ime drop ile mbaya mpaka nahisi kizunguzungu....

Dhumuni hasa la kuwaandikia huu ujumbe ni kutaka kujua nitakua nimepigwa shoti au kwa maana nyingine nitakuwa nimewakwaa wale wadudu wanaokula kilo nzima ya nyama kwa siku...maaNa naogopa kuvishwa tena pampasi kama mtoto mchanga kwa sababu lile jina la muathirika limenyima raha siku nzima.....
Nawasilisha wana jamviiii


!
!
Hapo kuna options nyingi mno. Chache ni kama ifuatavyo.
1. Umeukwaa
Hapa pia kina haya
a. Umepata virus dume tupu.
b. Umepata virus jike tupu, au
c. Umepata virus jike na dume.
Kama ni a na b angalau uko safe mpaka utakapoongeza kirusi cha jinsia tofauti ili vizaliane. Ila kama ni c daah tena ukute umepata kijike kimoja na vidume vitatu hivii ni shiiida.
2. Hujapata.
Ushauri
Ni bora uende hospitali ukapime.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.Nimetoka zangu kuoga kurudi chumbani nakuta kuna missed call katika simu yangu ya mkononi katika kuifungua nikakuta ni new number.

Nikataka kujua ni nani hasa alienipigia simu...nikaipiga ile namba kupitia application ya true caller katika kuita likatokea jina " MUATHIRIKA ". Moyo ukanienda mbio sana.Nikasema hii haitoshi nikaenda katika tiGo pesa kuchunguza kiundani zaidi atakuwa ni nani huyu mtu kuangalia nikakuta jina nalifahamu.

Jina nila binti fulani iviii nilifanikiwa kulala nae nikiwa chuo na siku iyo nilipiga ile kitu inameza nyenzake bila kinga yanii ilikua nyamanyama.Kama mnavyojua jamani ile kitu ikiwa original inakua tamu zaidi kuliko ukivaa soksi.Alafu kwa miezi mitatu hivi afya yangu ime drop ile mbaya mpaka nahisi kizunguzungu.

Dhumuni hasa la kuwaandikia huu ujumbe ni kutaka kujua nitakuwa nimepigwa shoti au kwa maana nyingine nitakuwa nimewakwaa wale wadudu wanaokula kilo nzima ya nyama kwa siku,maana naogopa kuvishwa tena pampasi kama mtoto mchanga kwa sababu lile jina la muathirika limenyima raha siku nzima.

Nawasilisha wana jamviiii
Hii application inatoaje jina kama hilo? Mi nikiwa kipofu nikakucall inaandika kipofu Au?
 
Nenda tu kapimwe... Huenda ulinusurika. Sio kila ajali inapotokea abiria wote wanakufaga. Wengine huwa wananusurika...
 
Pole umeharisha Mara ngapi umeugua homa Mara ngap tangu ukutane na huyu binti?je mwanzo ulikuwa na kilo ngap na sasa n ngap?
 
:) :) :)

Haifai kucheka ila nimecheka mbaya,
Yaani nainyofoa fasta hiyo true caller
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom