Tanzania tupate High Speed Train, Wachina watajenga!

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,007
1,894
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia?

angalia kwa mfano: TAZARA tayari ipo imejengwa ni kiasi cha kutandaza mfumo wa umeme toka dsm hadi kaprimposhi zambia. Reli ya Kati ipo, kilichobaki ni kutandaza umeme toka dsm hadi kigoma na mwanza tu. reli ya toka dsm hadi Tanga na Tanga hadi moshi arusha ipo, ni kiasi tu cha kutandaza umeme na vitu vinaanza kufanya kazi. badala ya watu kutembea kwa train kwa siku tatu njiani, wanatembea kwa siku moja au pengine masaa tu wamefika kigoma.

tunashindwa nini? kwasasa japani wameshajiunga na ndugu zetu wa kusini/mozambique hadi wamewapatia dola milioni miasaba na wameomba kuwa rafiki yao kwasababu ya gas na mafuta. china imechagua tz kwasababu ya urafiki wa kihistoria na kwasababu ya mafuta na gas. pengine bomba likifika dsm tukafua umeme pale kinyerezi umeme wanaosema tutakuwa nao mwingi kiasi cha kuuza nchi za nje(nje za nchi) tutatumia umeme huo wa ziada kuifanya train system yetu itumie umeme na kuwe na speed ya usafirishaji wa mizigo, kama mzigo ukishushwa dsm leo asubuhi ufike kigoma au mwanza baada hata ya masaa kumi na mbili. inawezekana, badala ya masiku mengi na kwa malori yanayoharibu barabara zetu.

NI MUHIMU SANA KUBORESHA MIUNDO MBINU YETU HASA RELI NA BANDARI, barabara tumeshajitahidi tuhamishie nguvu kwenye bandari na reli tuone.

Pia nashauri TUJENGE BANDARI KAVU KUBWA SANA PALE KAGONGWA AU ISAKA KAHAMA ambapo itufanya mji wa kahama uungene hadi Tinde pale toka kahama mjini. kwa mzunguko wa pesa wa kahama kwenye migodi ambao inakadiriwa kuisha miaka zaidi ya hamsini ijayo, na mzunguko wa bandari kavu, eneo lile litakuwa eneo la kibiashara sana. na nilisikia wanajenga kituo cha uwekezaji pale kahama/isaka (kwa wale wenyeji wa kule wanapaelewa). Mungu ibariki tz ifikie mafanikio haya. KIKWETE, TUNAHITAJI TRAIN ZA KUTUMIA UMEME ILI ZIENDE HARAKA, HII INAWEZEKANA KWASABABU UMEME TUTAKUWA NAO. hakuna linaloshindikana hapa duniani. south africa zipo, morroco zipo, tz tunashindwa nini?

halafu, kwanini ile reli/train toka KIA kule moshi hadi arusha isiboreshwe na itumie umeme pale ili watu tuishi maisha ya kisasa, tutaishi maisha ya kuona kama hatutaweza hadi lini jamani? tupeni sisi wengine uongozi muone kama nchi hii itabaki kama ilivyo. MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI MIUNDOMBINU YA TZ.

SOMA PIA
2021
2022
2023
2024
 
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia?

angalia kwa mfano: TAZARA tayari ipo imejengwa ni kiasi cha kutandaza mfumo wa umeme toka dsm hadi kaprimposhi zambia. Reli ya Kati ipo, kilichobaki ni kutandaza umeme toka dsm hadi kigoma na mwanza tu. reli ya toka dsm hadi Tanga na Tanga hadi moshi arusha ipo, ni kiasi tu cha kutandaza umeme na vitu vinaanza kufanya kazi. badala ya watu kutembea kwa train kwa siku tatu njiani, wanatembea kwa siku moja au pengine masaa tu wamefika kigoma.

tunashindwa nini? kwasasa japani wameshajiunga na ndugu zetu wa kusini/mozambique hadi wamewapatia dola milioni miasaba na wameomba kuwa rafiki yao kwasababu ya gas na mafuta. china imechagua tz kwasababu ya urafiki wa kihistoria na kwasababu ya mafuta na gas. pengine bomba likifika dsm tukafua umeme pale kinyerezi umeme wanaosema tutakuwa nao mwingi kiasi cha kuuza nchi za nje(nje za nchi) tutatumia umeme huo wa ziada kuifanya train system yetu itumie umeme na kuwe na speed ya usafirishaji wa mizigo, kama mzigo ukishushwa dsm leo asubuhi ufike kigoma au mwanza baada hata ya masaa kumi na mbili. inawezekana, badala ya masiku mengi na kwa malori yanayoharibu barabara zetu.

NI MUHIMU SANA KUBORESHA MIUNDO MBINU YETU HASA RELI NA BANDARI, barabara tumeshajitahidi tuhamishie nguvu kwenye bandari na reli tuone.

pia nashauri TUJENGE BANDARI KAVU KUBWA SANA PALE KAGONGWA AU ISAKA KAHAMA ambapo itufanya mji wa kahama uungene hadi Tinde pale toka kahama mjini. kwa mzunguko wa pesa wa kahama kwenye migodi ambao inakadiriwa kuisha miaka zaidi ya hamsini ijayo, na mzunguko wa bandari kavu, eneo lile litakuwa eneo la kibiashara sana. na nilisikia wanajenga kituo cha uwekezaji pale kahama/isaka (kwa wale wenyeji wa kule wanapaelewa). Mungu ibariki tz ifikie mafanikio haya. KIKWETE, TUNAHITAJI TRAIN ZA KUTUMIA UMEME ILI ZIENDE HARAKA, HII INAWEZEKANA KWASABABU UMEME TUTAKUWA NAO. hakuna linaloshindikana hapa duniani. south africa zipo, morroco zipo, tz tunashindwa nini?

Hiyo tren kwa Umeme wa TANESCO itaua raia
 
mbona nchi nyingine haziuwi mzee na wanatumia umeme kama wa kwetu tu. una maana kwamba umeme kukatikakatika, si yatakuwepo majenerator special automatic kuwaka umeme ukikatika, na kituo cha umeme wa train kinakuwa tofauti na vituo vya umeme huu wa majumbani etc. inawezekana.
 
Wenye ku initiate hayo usemayo ndiyo hao hao wanamiliki mabasi na malori, na ndiyo haohao wanahujumu miundombinu ya reli zilizopo ili waweze kuneemesha biashara zao.
 
Mawazo yako ni mazuri. Viongozi wa kisiasa waache kuingilia mambo ya kitaalamu kwanza,waache bla bla,na wawe serious kwenye kazi,tutafanikiwa!
 
Vitu vingine mnapoamua kuandika mbele ya kadamnasi kama JF hakikisheni mna uelewa wa kutosha kwanza...
 
Kama kusukuma maji ni issue na train je? So unataka WA tz wore kifo Chao kiwe train. Tusifanye test kwenye life za watu
 
Idea nzuri saana hiyo Mkuu, lakini kwa uongozi huu wa Ccm hakuna kitakachofanyika.Tutaishia kuonea gere maendeleo ya nchi jirani.
 
Kama kusukuma maji ni issue na train je? So unataka WA tz wore kifo Chao kiwe train. Tusifanye test kwenye life za watu
Hizo ni fikra mgando mkuu, kama hao wajapan na wachina wangekua na mawazo kama hayo yako, nchi zao zingekua na maendeleo kama tuyaonayo sasa?
 
Gauge ya rail zetu ni ya zamani,haifai kwa mitambo ya kisasa. maana yake tunapaswa tufumue tujenge upya SGR (Standard Gauge Rail), maelfu ya kilometres. .. Hivyo si shughuli ya kitoto,ni matrilioni mengi. pia hata mabehewa yake ni tofauti kabisa.
 
hatuna miundombinu itakayoweza kumudu train hizo na kasi yake,"CHAGUA NA PENDA CHADEMA HAYA YOTE YATAWEZEKANA"
 
Inawezekana kwa wenzetu wakenya wanajenga train ya mwendo kasi km120-160 kwa saa,ni standard gauge lakini train inatumia diesel engine japo itawekewa na miundo mbinu ya umeme tayaritayari incase nchi ikiwa na umeme wa kutosha,rail itakuwa fenced toka mombasa hadi mpakani na uganda malaba,reli itakua automated inajiendesha ila kunakua na watu control room wanamonitor,itakua na uwezo wa kutumia masaa 4 tu toka nairobi hadi mombasa.
Gharama yote ya ujenzi ni ksh bilioni 220 ambazo kenya itachangia 15% na china 85% kama mkopo.
Ksh bilion 120 zitatumika kununua locomotive na mabehewa.
 
Vitu vingine mnapoamua kuandika mbele ya kadamnasi kama JF hakikisheni mna uelewa wa kutosha kwanza...

Kama kusukuma maji ni issue na train je? So unataka WA tz wore kifo Chao kiwe train. Tusifanye test kwenye life za watu
au ninyi ndio mnaomiliki malori hapa tz. pole kwa kukuudhi, ila kuna siku yote haya yatawezekana tz. kama ni kubadilisha gauge ya rail, tutabadilisha, na tutatandaza umeme hapa hadi kigoma na TAZARA na malori yenu mtayauza yote. subirini rais kichaa achukue nchi hii ndio mtaona moto wake.
 
Vitu vingine mnapoamua kuandika mbele ya kadamnasi kama JF hakikisheni mna uelewa wa kutosha kwanza...

Kwa hiyo wewe unafkr mwandishi sio muelewa? Punguani weweee hivi vitu ni vya kawaida na vinawezekana hata hapa Tz. Acha kufkr kama kizamani
 
Vitu vingine mnapoamua kuandika mbele ya kadamnasi kama JF hakikisheni mna uelewa wa kutosha kwanza...

Hapo ndipo uwelewa wake ulipofika chukua kijiti cha uwelewa wake changanya na za kwako kusongesha safari ya maarifa kwake na kwa wengine badala ya kulaumu na kukaa kimya
 
Hayo yote yanaweza kuja kwa kuwa na mipango. warusi waliporusha roketi angani (sputnic) kama sijakosea spelling wamarekani walishtuka na kuja na mpango madhubuti katika elimu yao ambao uliwawezesha kufikia malengo yao. sisi tumeng'ang'ana kujaza kidato cha kwanza wanafunzi waliojibu kwa kubahatisha mtihani wa darasa la saba matokeo yake kuwa na rundo la watoto wasiojua hata kuandika sentesi moja tu iliyonyooka. tunasema uchumi wa gesi, mafuta sawa lakini tunataka pia kujua ndani ya muda fulani tunatengeza gari letu; reli ya umeme. tunateneza nini na nini n.k.
 
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia?

angalia kwa mfano: TAZARA tayari ipo imejengwa ni kiasi cha kutandaza mfumo wa umeme toka dsm hadi kaprimposhi zambia. Reli ya Kati ipo, kilichobaki ni kutandaza umeme toka dsm hadi kigoma na mwanza tu. reli ya toka dsm hadi Tanga na Tanga hadi moshi arusha ipo, ni kiasi tu cha kutandaza umeme na vitu vinaanza kufanya kazi. badala ya watu kutembea kwa train kwa siku tatu njiani, wanatembea kwa siku moja au pengine masaa tu wamefika kigoma.

tunashindwa nini? kwasasa japani wameshajiunga na ndugu zetu wa kusini/mozambique hadi wamewapatia dola milioni miasaba na wameomba kuwa rafiki yao kwasababu ya gas na mafuta. china imechagua tz kwasababu ya urafiki wa kihistoria na kwasababu ya mafuta na gas. pengine bomba likifika dsm tukafua umeme pale kinyerezi umeme wanaosema tutakuwa nao mwingi kiasi cha kuuza nchi za nje(nje za nchi) tutatumia umeme huo wa ziada kuifanya train system yetu itumie umeme na kuwe na speed ya usafirishaji wa mizigo, kama mzigo ukishushwa dsm leo asubuhi ufike kigoma au mwanza baada hata ya masaa kumi na mbili. inawezekana, badala ya masiku mengi na kwa malori yanayoharibu barabara zetu.

NI MUHIMU SANA KUBORESHA MIUNDO MBINU YETU HASA RELI NA BANDARI, barabara tumeshajitahidi tuhamishie nguvu kwenye bandari na reli tuone.

pia nashauri TUJENGE BANDARI KAVU KUBWA SANA PALE KAGONGWA AU ISAKA KAHAMA ambapo itufanya mji wa kahama uungene hadi Tinde pale toka kahama mjini. kwa mzunguko wa pesa wa kahama kwenye migodi ambao inakadiriwa kuisha miaka zaidi ya hamsini ijayo, na mzunguko wa bandari kavu, eneo lile litakuwa eneo la kibiashara sana. na nilisikia wanajenga kituo cha uwekezaji pale kahama/isaka (kwa wale wenyeji wa kule wanapaelewa). Mungu ibariki tz ifikie mafanikio haya. KIKWETE, TUNAHITAJI TRAIN ZA KUTUMIA UMEME ILI ZIENDE HARAKA, HII INAWEZEKANA KWASABABU UMEME TUTAKUWA NAO. hakuna linaloshindikana hapa duniani. south africa zipo, morroco zipo, tz tunashindwa nini?

halafu, kwanini ile reli/train toka KIA kule moshi hadi arusha isiboreshwe na itumie umeme pale ili watu tuishi maisha ya kisasa, tutaishi maisha ya kuona kama hatutaweza hadi lini jamani? tupeni sisi wengine uongozi muone kama nchi hii itabaki kama ilivyo. MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI MIUNDOMBINU YA TZ.

Ulikuwa unaota ndoto? Subiri 2015 utapata ahadi za mawazo yako.
 
Back
Top Bottom