Genius1
Member
- May 3, 2014
- 28
- 11
acha kumpotosha dogo, peni yoyote unaruhusiwa lakin isiyo nyekundu au kijani tu wala pendeli. so use black /blueMkuu wameandika kabisa ujaze fomu kwa pen nyeusi,zingatia masharti ukikosea kidogo inakula kwako.
acha kumpotosha dogo, peni yoyote unaruhusiwa lakin isiyo nyekundu au kijani tu wala pendeli. so use black /blueMkuu wameandika kabisa ujaze fomu kwa pen nyeusi,zingatia masharti ukikosea kidogo inakula kwako.
Haya asante kwa marekebisho lkn kumbukumbu zangu zinanikumbusha kama ilikuwa kutumia black pen.Kama sasa hivi kuna marekebisho hayo haina shida.acha kumpotosha dogo, peni yoyote unaruhusiwa lakin isiyo nyekundu au kijani tu wala pendeli. so use black /blue
Umekoseaje yaani,na ulikuwa unalipia nini jazilizia nyama usaidiwe.jamani nisaidieni ... mm nilikuwa nalipa kwa mpesa ila nimekosea na pesa imekatwa .. je inaweza kurejeshwa ??
WAMEANDIKA WAPI?Mkuu wameandika kabisa ujaze fomu kwa pen nyeusi,zingatia masharti ukikosea kidogo inakula kwako.
Umekoseaje yaani,na ulikuwa unalipia nini jazilizia nyama usaidiwe.
Sasa mkuu umeilipa au umekosea kuilipa umelipia taasisi nyingine,mfano badala ya kulipia Heslb ukalipia TCU?au inakuwaje?.nilikuwa nalipia ile 30,000 ili nipate ile ID ya kuweza kujaza fomu ya mkopo mkuu.
Sasa mkuu umeilipa au umekosea kuilipa umelipia taasisi nyingine,mfano badala ya kulipia Heslb ukalipia TCU?au inakuwaje?.
Kwahiyo hujarudishiwa mesege yenye code number?.hamna mkuu .. nilifanya makosa kwenye kuandika kumbukumbu namba badala ya form 4 nimeandika ya form 6
hamna mkuu .. nilifanya makosa kwenye kuandika kumbukumbu namba badala ya form 4 nimeandika ya form 6
Huwezi ukapata mkopo bila cheti cha kuzaliwa,watajuaje kama wewe kweli ni mtz?.Kama mtu hana cheti cha kuzaliwa afanyaje ili apate mkopo
Mkuu hapo wameandika wanaopaswa kupewa mkopo ni between 2014_2016 .Je vipi kwa waliomaliza 2014 maana kwa neno between naona kama vile 2014 wanakua excluded.Naomba ufafanuzi hapo tafadhali.
Me mwenyewe ilinichanganya kidogo hapo kwenye between halafu hapohapo last three yrs.Ahsante kwa ufafanuzi MkuuMkuu Hepo Soma Kwa Makini Maneno haya: "Direct and Indirect applicants admitted to pursue Priority Courses Cluster II will be eligible for loans if applicants graduated Form Six or other Equivalent Qualifications within the last three years".
Sasa Mkuu Hapo Kauli Sahihi sio Kuitafsiri "Between"! Bali Ni Kuitafsiri "Within the last three Years/Ndani Ya Miaka Mitatu iliyomalizika".
1) Mwaka wa Kwanza ni 2016
2) Mwaka wa Pili ni 2015
3) Mwaka wa Tatu ni 2014
Sasa hapo Hofu yako ni nini??