Heshima aliyopewa Mbatia ni kubwa kuliko aliyopewa Mama Anna Mghwira

Duniani kote ilani inayoongoza nchi ni ya chama kinachoongoza nchi kwa wakati ule. Inashangaza kama hujui...

Du mzee, rudi shule ya elimu ya Uraia aka civics. Ningekupa mifano mingi lakini chukua huu mmoja tu- Israel, Bejamin Nitanyahu alishinda uchaguzi - Unaposikia wanamazungumzo na vyama vingine kuunda serikali maana yake wanagawana utekelezaji wa ILANI zao. Uliza tena ujibiwe!
 
Kwahiyo wewe unafata ilani ya ACT-WAZALENDO au CCM?
Duniani kote ilani inayoongoza nchi ni ya chama kinachoongoza nchi kwa wakati ule. Inashangaza kama hujui...
tapatalk_1591001801274.jpeg
 
h
Pole sana kwa kutumia uhuru wako namna hii. Una haki na maoni yako japo inaonekana huelewi kahisa mfumo wa uendeshaji nchi unavyofanya kazi. Kuwa kwa mfano kwako suala kubwa ni cheo.na si utumishi. Hujui kuwa Mkuu wa Mkoa na Waziri ni ngazi moja na Katibu Mkuu wa wizara ni sawa na Ras ngazi ya mkoa. Na hawa ni wasaidizi wa waziri na Mkuu wa mkoa. Naamini utapata nafasi kujifunza zaidi...ili utoe hoja zenye mashiko na si mradi kuongea. Pia ujali utumishi kuliko vyeo .
Huyo ana hasira tu na wewe kiongozi
Ametumia nguvu nyingi sana kukushambulia binafsi na kukutaja,achana nae
 
Pole sana kwa kutumia uhuru wako namna hii. Una haki na maoni yako japo inaonekana huelewi kahisa mfumo wa uendeshaji nchi unavyofanya kazi. Kuwa kwa mfano kwako suala kubwa ni cheo.na si utumishi. Hujui kuwa Mkuu wa Mkoa na Waziri ni ngazi moja na Katibu Mkuu wa wizara ni sawa na Ras ngazi ya mkoa. Na hawa ni wasaidizi wa waziri na Mkuu wa mkoa. Naamini utapata nafasi kujifunza zaidi...ili utoe hoja zenye mashiko na si mradi kuongea. Pia ujali utumishi kuliko vyeo .
Acha uongo ,katambi,bashite na ole sendeka wasingeacha u Rc kukimbilia ubunge
 
Pole sana kwa kutumia uhuru wako namna hii. Una haki na maoni yako japo inaonekana huelewi kahisa mfumo wa uendeshaji nchi unavyofanya kazi. Kuwa kwa mfano kwako suala kubwa ni cheo.na si utumishi. Hujui kuwa Mkuu wa Mkoa na Waziri ni ngazi moja na Katibu Mkuu wa wizara ni sawa na Ras ngazi ya mkoa. Na hawa ni wasaidizi wa waziri na Mkuu wa mkoa. Naamini utapata nafasi kujifunza zaidi...ili utoe hoja zenye mashiko na si mradi kuongea. Pia ujali utumishi kuliko vyeo .
Najua hupo duniani, ila mkuu wa mkoa kwa waziri, waziri ni mkubwa
 
Back
Top Bottom