Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,470
- 96,019
- Thread starter
- #181
Huo ndio ukweli haswaaaNimemsikia mtumishi mmoja wa Mungu leo akisema kuwa kuna watu waliibiwa kura, ila Mungu aliamua kulinda Amani ya Tanzania. Na akasema wale waovu waliofanya vile, watadharauliwa na jamii. Tunakushukuru Mungu sana kwa Amani & Umoja wa Taifa letu.