Heri ya kuzaliwa Jakaya Mrisho Kikwete, nguli wa diplomasia na mwanajeshi uliyeiva

Hakukaa hapa Tanzania ndio maana hana baya na mtu.Angekuwa Rais wa kweli kabisa lzm angekuwa na baya na watu,hata YESU KRISTU ambaye baadhi yetu ukiwa ni pamoja na ww Lucas tunaamini alisulubishwa kwa kusema ukweli na kumtundika msalabani,mdogo wangu Lucas usipokuwa mkweli na ukawa mwongo na mwizi ktk level ya serikali kama Raisi wezi walio wengi zaidi ktk serikali watakupenda sana kwa sababu umeungana nao na lazima usiwe na baya.Kikwete alikuwa kiongozi asiyejali hiyo ndio sifa yake kuu zaidi ya hapo tutamuonea.
Mzee Kikwete Rais wetu mstaafu alikuwa anajali sana maisha ya watu.alikiwa anaguswa na shida za watu.ndio maana alikuwa mwepesi sana katika kusaidia watu
 
Mwanzo wa uharibifu wa raslimali za taifa ulianzia awamu yake hata ufisadi wa kutisha (Escraw, Mtwara gas etc)
 
Back
Top Bottom