Heri ya kuzaliwa Heaven Sent

Tuko pamoja. Hata mie leo ni siku yangu. 21/12. Nakumbuka siku kuna thread ililetwa hapa ya kuandika Birth Days kwa wana jf kukutanishwa kama sikosei tulifanana katika tarehe.
 
Happy Birthday pacha angu wa njee.....


Nakutakia maisha mema, afya madhubuti na umri mrefu....
 
Heaven Sent
Happy-Birthday-Heaven.jpg

Thats so nice bro. Nakupa Heaven Sent awe wako milele
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom