nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,340
- 8,127
Kweli maana kutungua ndge ya urusi lazima uwe unajiamin uko vizuriUnachekesha sana hata uturuki imeizid israel.ya kwanza USA,Russia then china kijesh dunian
Kweli maana kutungua ndge ya urusi lazima uwe unajiamin uko vizuriUnachekesha sana hata uturuki imeizid israel.ya kwanza USA,Russia then china kijesh dunian
tangiapo si mbali sana na hapo palikua na meli ya kirusi,intelligence gathering ship ilikuwa ikiishadow manowari ya marekani tangu mwanzo,nadhani hii ishu ilikua coordinated.US hawakua wajinga walifanya calculation ifuatayo...SU 24 fighter jets zilikua mbili na ma pilots wanne...US Destroyer warship ilikua na wanamaji wasiopungua 150 onboard ....US destroyer ilikua inauwezo wa kuzitungua hizo ndege mbili na kuua mapilot wote lakini isingepita ata dakika 10 hiyo destroyer ingekua imezamishwa na kuua wanamaji zaidi ya 100...ikumbukwe Russia ana anti ship missile ana submarine zenye uwezo wakufire torpedo na kizamisha
nchi zilizowahi kuwa empire bado huwa zina kujiamini sana,lakini na umember wa NATO unamsaidiaKweli maana kutungua ndge ya urusi lazima uwe unajiamin uko vizuri
Alafu wanafanya watu tuwe washabiki wao wakati wao wananufaika sisi tunabakia , utasikia member mmoja wa P5 anamlaumu mwezake wakati alikubali au ali- abstain kwenye kura. wanafanya conspiracy tuu! hawa ndio wanaotawala geopolitics za dunia na wote wanamiliki nuclear weapons stockpiles za kutosha.ni kweli mkuu na kwa jinc mfumo wa UNSC unawapa nguvu kubwa p5 kufanikisha dili zao nying ziwe nzuri au chafu...kuna documenyary flan nliwah kuangalia inaonyesha sometime p5 huwa wanapeana madili kwa kutumia veto zao yaan watu wanabstain ili draft yako ipite in return nawe una turn blind eye kwe issue flan inayowahusu
ni kwelinchi zilizowahi kuwa empire bado huwa zina kujiamini sana,lakini na umember wa NATO unamsaidia
wataalam wa mamb wanakwambia p5 they need each other than they hate each other,coz bila kumdermonize russia marekan hawez kuuza silaha za mabilion ya dollar kwa wale eastern members wa nato,bila kumdermonize china marekan hawez kuuza silaha za billion of dollars kwa japan,south korea ama india...ili biashara ziendelee kupigwa lazima north korea hata akitest baruti us media zitangaze kwakuwa ile tension ya korean peninsula ina manufaa mengi kwao,vivyo hivyo kwa iran,armenia,arzeibjan,serbia ma syria ambako mkubwa putin anapiga pesa za silaha pia, hawa jamaa hawapendan ila kila mmoja anajua kuwa uwepowa mwenzie una faida sana kwake....wao ndo wauzaji wakubwa wa silaha duniani..wao ndo wana makampuni makubwa ya energy dunian..yaan russia ikiporomoka yote na kubaki nchi ya kawaida kwanza NATO itavunjikaAlafu wanafanya watu tuwe washabiki wao wakati wao wananufaika sisi tunabakia , utasikia member mmoja wa P5 anamlaumu mwezake wakati alikubali au ali- abstain kwenye kura. wanafanya conspiracy tuu! hawa ndio wanaotawala geopolitics za dunia na wote wanamiliki nuclear weapons stockpiles za kutosha.
n
ndio maana nchi nyingine haziruhusiwi kuwa na silaha kali na uchumi, mkubwa fikiri kama rusia,china,nchi za kiarabu na korea kaskazini wangekua na uwezo wa uchumi,kiteknolojia na kivita kama USA na Israel ingekua je? nafiki wangetoka na majeshi yao na kwenda kuteka nchi fulani na kuchukua wanachotaka.
Tusifuate habari za kuambiwa mtandaoni, rudi tangu miaka ya 1950 soma vitabu makala hasa ambayo yameandikwa na wapinzani wao,lakini rudi ndani kwao nenda kwenye habari huru kwani kwa serekali hawasemi uwezo wao, angalia uvumbuzi uliofanywa duniani kote, wavumbuzi wengi ni wao hata kama ni raia wa nchi nyingine kimsingi ni kwamba wana uraia wa mojakwamoja wa Israel bado hoa walioko ndani ambao taarifa za uvumbuzi wao unabaki siri kwa serikali utangundua wana uwezo kiasi ganiUnachekesha sana hata uturuki imeizid israel.ya kwanza USA,Russia then china kijesh dunian
Duh huu mjadala mzuri sana...na nakupongeza kwa fair discussion na erijo....maana ninyi wawili( wewe na erijo) kila mmoja ana upande wake , mmoja Russia na mwinge USA lakini mnajadili na kuelewana bila matusi kabisa! Hii ndio inayotakiwa...maana Luna wengine humu wanazidisha matusi na lugha chafu na ushabiki unazidi kuliko kufanya fair discussion na kujifunza usilolijua. Safi sana mkuu .wataalam wa mamb wanakwambia p5 they need each other than they hate each other,coz bila kumdermonize russia marekan hawez kuuza silaha za mabilion ya dollar kwa wale eastern members wa nato,bila kumdermonize china marekan hawez kuuza silaha za billion of dollars kwa japan,south korea ama india...ili biashara ziendelee kupigwa lazima north korea hata akitest baruti us media zitangaze kwakuwa ile tension ya korean peninsula ina manufaa mengi kwao,vivyo hivyo kwa iran,armenia,arzeibjan,serbia ma syria ambako mkubwa putin anapiga pesa za silaha pia, hawa jamaa hawapendan ila kila mmoja anajua kuwa uwepowa mwenzie una faida sana kwake....wao ndo wauzaji wakubwa wa silaha duniani..wao ndo wana makampuni makubwa ya energy dunian..yaan russia ikiporomoka yote na kubaki nchi ya kawaida kwanza NATO itavunjika
Duh Hawa jamàa noma sana! Hahaha...kwa hiyo propaganda zile zote ni ili wapige business zao duh.wataalam wa mamb wanakwambia p5 they need each other than they hate each other,coz bila kumdermonize russia marekan hawez kuuza silaha za mabilion ya dollar kwa wale eastern members wa nato,bila kumdermonize china marekan hawez kuuza silaha za billion of dollars kwa japan,south korea ama india...ili biashara ziendelee kupigwa lazima north korea hata akitest baruti us media zitangaze kwakuwa ile tension ya korean peninsula ina manufaa mengi kwao,vivyo hivyo kwa iran,armenia,arzeibjan,serbia ma syria ambako mkubwa putin anapiga pesa za silaha pia, hawa jamaa hawapendan ila kila mmoja anajua kuwa uwepowa mwenzie una faida sana kwake....wao ndo wauzaji wakubwa wa silaha duniani..wao ndo wana makampuni makubwa ya energy dunian..yaan russia ikiporomoka yote na kubaki nchi ya kawaida kwanza NATO itavunjika