BrownEye
Member
- Jul 31, 2007
- 84
- 1
Tatizo sie wa bongo huwa hatupendi ukweli kabisa, tunataka sana kujifanya watasha, hatupendi kuishi maisha yetu kabisa! We always want to live artificial lives, me I hate this!! If I can just you guy a qn, what do you understand the so called ''Ndoa''? Najua utajikanyaga kanyaga tu bila kunipa ukweli of halisi wa NDOA!!
Eti unasema, kumzalisha unampunguzia heshima? mimi sikuelewi kabisa, ndo maana nakwambia uko too artificial!! Understand kwamba, mtoto uliye zaa siyo wa kwako peke yako, kila mmoja hufurahia ujio wake, lakini mlio wengi husemi mtoto wa mwanaume! This is totally wrong!!
Halafu kijana unaonekana huishi na mwanamke. For ur info, mkeo unayeishi naye hawezi hata siku moja kuwa chombo cha starehe kama unavyo fikiria......! Hiyo starehe unayosema, ni kasehemu kadogo sana kny maisha ya wiwili!!
Try 2 b real men!! Hivyo ndivyo waswahili tulivyo!!
Nikujibu kifupi kuwa nipo ndani ya ndoa kwa miaka mingi kidogo na nshaoza mjukuu wangu wa kwanza wa kike tayari. Nina experience ya watoto walioolewa na waliozaa tu na mmoja wao hadi sasa yupo homu, katelekezwa na baby kachukuliwa na kijana kaoa mke mwingine. Sikubishii hayo mawazo yako ya kuwa waswahili ndivyo mlivyo. Naomba usubiri huyo mwanao akue ( kama ni wa kike) halafu utasema kama ushauri wako wa kuwa realistic bado upo pale pale au umebadirika. Au fikiria wale dada zako ( kama unao kule nyumbani kwenu,Je wakiomba ushauri kama wa dada Jn majibu yako yatabaki haya haya.) Nazidi kusisitiza naheshimu sana mawazo yako.