T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Mar 25, 2016 #2 Acha mkwara sasa! wewe ni mgeni ngoja tukukaribishe kwanza. Huo ushirikiano utaupata baadae. Karibu mjukuu wetu jf.
Acha mkwara sasa! wewe ni mgeni ngoja tukukaribishe kwanza. Huo ushirikiano utaupata baadae. Karibu mjukuu wetu jf.
Nahrene JF-Expert Member Jan 18, 2016 937 2,907 Mar 25, 2016 #3 I hope ushirikiano wako humu utaendana na jina lako
Nahrene JF-Expert Member Jan 18, 2016 937 2,907 Mar 25, 2016 #4 True story said: kwann wasema hvo? Click to expand... Nimesema tu
Nahrene JF-Expert Member Jan 18, 2016 937 2,907 Mar 25, 2016 #5 True story said: bas sawa Nah... have a nyc moment Click to expand... Thank you
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Jul 26, 2012 21,040 64,873 Mar 26, 2016 #6 Karibu sana Partner. Mimi nina miaka 23. Na huu ni mwaka wangu wa 4 JF.
T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Mar 26, 2016 #9 True story said: hahahha how old a u kuniita mm mjukuu wako? Click to expand... Teh teh teh! jiulize tu nimesoma darasa moja skuli ya upili na Jecha kule kijito upele na kwa sasa mimi ni sheha wa huku mchamba wima kwa takribani miaka 20 sasa!
True story said: hahahha how old a u kuniita mm mjukuu wako? Click to expand... Teh teh teh! jiulize tu nimesoma darasa moja skuli ya upili na Jecha kule kijito upele na kwa sasa mimi ni sheha wa huku mchamba wima kwa takribani miaka 20 sasa!