Sisa Og
Senior Member
- Apr 18, 2024
- 116
- 205
Nawasilimu wana JF
Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana.
Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe hela yani hapo napoteza interest.
Katika harkati zangu za kutafuta wife material, nikakutana na huyo mrembo. Mambo yakatiki. Baada ya siku nne, mtoto akataka hela nikatuma. Sasa nikawaza hela anakosaje, ana wazazi anakula home na anapewa kila kitu - yupo chuo. Nikavuta siku.
Ikawa kila nikiongea naye basi good bye ni kuomba hela. Ikawa nisipompa anasema haniamini na hapo amani inakosa japo indirect.
Basi nikamkataa wiki nzima wote tukavungiana. Akaja kunitafuta analalamika kwamba nimemtenga nikamwambia simtaki tena tujikateae basi akajiliza. Nikajua nshawekwa friend zone.
Baada ya hapo ni kuombwa hela kila baada ya siku mbili. Mi nshajua hapa sina kiumbe akajua kashanikamata. Nikamcare kweli ile serious lengo langu ajue kashampata nice man kumbe nataka nimkae kichwani then nijikatae labda atajua tatizo na hii itamsaidia boy wake ajae.
Basi mwendo ukawa uleule. One day akaomb hela nkamwambia nipe lisaa. Nikajisemea hapa ndo muda wa kuachia usukani. Nikakaa pembeni. Sijuagi kuaga ni kuchezea block mengine yaendelee. Mwezi sasa, ngoja niendelee kutafuta.
Shida ukianza omba pesa nadhani hamna mapenzi. Naamini dem anayekupenda hawezi omba pesa maana anajua anaweza kukupoteza. Hata niwe nazo sikuzingatii labda ningekuwa nataka kuzini ila sio kwa wife material