Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Kama kawaida wamekurupusha uje kuropoka vipi nchi nyingine wakisema hamna kutuma pesa itabidi kila raia mgeni arudi kwao akafanye kazi nchini mwao maana ukiwa foreign unakuwa hawezi kutuma ama kutumiwa pesa?
Kila nchi ina taratibu zake kuhusu kuondoa fedha nchini kupeleka nje ya nchi hivyo na sisi hatuwezi kuwa tofauti, kuna Nchi ambazo hata Bureau de change haziruhusiwi, lkn kwetu zinaruhusiwa, kwa mfano huyo anayetaka kutuma Hela ya Uingereza ktk Tanzania mwambie amwambie huyo ndugu yake ajaribu kumtumia Euro au US Dollar ktk Uingereza kuja Tanzania yetu kama itawezekana, na mwambie ampe sababu za kutokuwezekana!