Pre GE2025 DSM Heche kuzungumza na wanahabari kesho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Aug 15, 2024
576
851
Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie.

===
Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza

"Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, kesho tarehe 23 Aprili 2025 atazungumza zaidi katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa"

heche.jpeg

Soma:
 
Baada ya kumkamata Kariakoo na kumpeleka Msimbazi, Polisi walimtoa kituoni hapo baada ya Nguvu ya Wananchi kuwatisha na kisha kuwatelekeza kwenye mtaa mmoja na kutokomea.

Baada ya Heche na viongozi wengine kugundua kwamba Polisi Wamekimbia nguvu ya Wananchi wakaamua kuondoka.

Heche ataunguruma Mikocheni kesho na kufichua kila kitisho alichopewa na Mamluki wa Polisi waliotumwa kumteka.

Screenshot_2025-04-22-23-15-09-1.png
 
View attachment 3312662
Yani wamchukue katikati ya soko la kariakoo na watu kibao wamejaa alafu washindwe kukaaa nae kituoni kwa kuhofia wananchi? Hao wananchi wanaoandamana nyuma ya keyboard au wapi?
 
Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie.

===
Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza

"Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, kesho tarehe 23 Aprili 2025 atazungumza zaidi katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa"

View attachment 3312661
Soma:
Bilashaka yoyote atakua anaropoka muda wote wa press conference, huenda na hang over itakua imeisha, maana alikamatwa akiwa anatoa harufu kali ya pombe na bangi mdomoni 🐒
 
Baada ya kumkamata Kariakoo na kumpeleka Msimbazi, Polisi walimtoa kituoni hapo baada ya Nguvu ya Wananchi kuwatisha na kisha kuwatelekeza kwenye mtaa mmoja na kutokomea.

Baada ya Heche na viongozi wengine kugundua kwamba Polisi Wamekimbia nguvu ya Wananchi wakaamua kuondoka.

Heche ataunguruma Mikocheni kesho na kufichua kila kitisho alichopewa na Mamluki wa Polisi waliotumwa kumteka.

View attachment 3312662
Mbona nguvu ya wananchi haijawashinda walipomkamata Lissu?
 
Back
Top Bottom