the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 575
- 847
Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie.
===
Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza
"Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, kesho tarehe 23 Aprili 2025 atazungumza zaidi katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa"
Soma:

- Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu
- Pre GE2025 - DSM - Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano
- John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
- Pre GE2025 - DSM - Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara
- Pre GE2025 - DSM - Polisi yakana kuwashikilia Heche na wenzake! Wasema walikuwa wanazuia fujo kutokana na kutokuwepo uwanja wa mkutano