Heche amtaka Raisi kupeleka mabadiliko ya Katiba bungeni kuruhusu marais Mkapa,Kikwete wachunguzwe

Countrywide, post: 21595630, member: 276847"]si waliimba sana imani na kikwete? Leo imekuwaje wanataka awajibishwe? pia heche asiwasahau walipkuwa mawaziri wakuu[/QUOTE]
Waliomba wana imani na lowasa wametoa wimbo mpya?
 
Mbona Msimamo wa Rais Uko wazi kuwa hapangiwi?

Heche ni nani? Kwanini hajaanza Kumshauri Mbowe juu ya Kuschia ngazi uwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA?
Heche ni mbunge wewe ni Fara.kwenye fact kamaizi wewe unaleta uvyama,hauwezi kutambua kabisa kua uvyama ndio umetufikisha hapa?
 
Na mawaziri wakuu wastaafu kwa kipindi cha miaka 20 nyuma wangekua bado wako CCM nao angeshauri wachunguzwe lakini kwa kuwa wanao huko sebuleni kwao sasa wanapata kigugumizi kushauri.
Hawa jamaa wawili ni kama walisoma alama za nyakati walipoamua kuhamia huko kwa mpigo, manake sahivi wanapiga mluzi tu.
 
Kwa trend inavyoenda nikisema faru John amehongwa na acacia nitakuwa nakosea???

Maana haiwezi kuingia akilini kampuni isiyo na leseni ya biashara alafu mpaka sasaa wanaendelea na uzalishaji kama kawaida!

Unang'ang'ana na Mambo ya mchanga unaachia dhahabu pure inabebwa seriously???

Kwanini usifreeze Mali zote za acacia??
 
Mbunge wa Jimbo Tarime Vijijini kupitia Chadema John Heche amtaka Raisi John Pombe Magufuli kupeleka mabadiliko ya Katiba bungeni ili kuruhusu maraisi Benjamini Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete wachunguzwe kuhusiana na mikataba ya madini .
Mbunge huyo amesema wananchi hawataruhusu ndege kutua North Mara kuchukua madini kwa sababu kampuni hiyo imebainika kuiibia nchi.
Mbunge huyo amesema atawahamasisha wananchi kuvamia mgodi wa North Mara baada ya ripoti kuonyesha unaiibia nchi.
View attachment 523194

Wamesahau jana tu wameimba wana imani na hawa wakubwa afu leo ngonjera gani tena!!
 
Back
Top Bottom