Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,959
Kwa hiyo unataka utuambie jamaa kichwa ubuyu au..
Mwanasheria mzuri anashindwaje kesi zote?Ujinga ujinga tuuu huyo bwana hana akili kabisa anachafua kabila ketu sana uyoo
Nakumbuka mara ya kwanza aligombea ubunge wa Mbeya vijijini baada ya mbuge aliye kuwepo kufariki cha ajabu kwenye fomu yake aka saini yeye mwenyewe kama advocate (kwa kifupi akajiapisha), akawekewa pingamizi na kushindwa - kilazaHahahaa! umenikumbusha ule msemo aliokua anasema "ne mwana wapipa",Sugu akaja kumjibu kua utakua "mwana wa ndoo".
MKUU HIYO BALAAEti nae alikua anashindana na Sugu,chezea Mbilinyi wewe alimpiga kabla misa ya kwanza haijaisha siku ile ya uchaguzi!