ndo mnavoibiwa kwa kutokuwa makini katika mambo ya msingi, hapo ni 3.5% kwa mwezi sio kwa mwaka, hiyo riba ukiipiga kwa mwaka ni majanga ,kimbia sanaRiba ni 3.5%?? Seriously??? What's the catch??
Hii kali 3.5% nikiingiza kwenye loan amortization schedule yangu ni hela ndogo sana. Tujuze zaidi.3.5,tatu nukta tano
3.5% per month, kwa mwaka ni 42% interest.Hii kali 3.5% nikiingiza kwenye loan amortization schedule yangu ni hela ndogo sana. Tujuze zaidi.
3.5% x 12= 42% kwa mwaka. Rejesho linarejeshwa vipi mkuu? Mkopaji analeta mwenyewe au? Tupe picha kamili. Guarantee ni mshahara au? Mtu anakopa shilingi ngapi kwa kuanzia au kiasi chochote anachoweza???Swanajarbu now kueka Sawa swal LA kodi ili na wajasiriamali wawez kupat hudum lkn kwa sasa n hawa wa watumish wa serikal mshar WAP unapita hazina na kuhus riba ni kwa mwezi na mkpo n miaka mitano unadum riba ni 3.5%
Kujiunga na SACCOS ni VpSaccos hainyonyi aisee yaan mkopo kama wangu nalipa riba kama mil 1.8 hivi kwa miaka yote 4 ingekuwa azania hiyo au finca duh