Ni ujinga ujinga tu, hatuwezi kusogea kwa kuleta siasa.
Watu wamewekeza pesa na muda, sie vijana wapambane wee, wakifanikiwa, kisha baadae mtake sifa za kisiasa
Haki ya Mungu siasa huleta mpasuko sana. Waziri kama huyu its like hajui majukumu yake. Viongozi huanza kuhudhuria nchi ikifika nusu fainali na fainali.
Kwamba Waziri anadhani tatizo la wizara yake ni taifa starz tu? tuachieni mpira wetu. Sio kila sehemu tunawahitaji. We need our national team back.....not your bad politics.