Hayati Magufuli: Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana

"Asanteni Watanzania kwa kunikumbuka, poleni Sana kwa kuongozwa na matapeli na mafisadi kwasasa. Lakini nitawaombea nanyi mkayashinde haya 2025. Na kama ningelijua ningebadilisha makamu 2020 ili nisiwaachie mateso wananchi wangu,mungu yu nanyi na atasikia kilio chenu"
Kamfuate ukampe kampani huko aliko sisi huku hatuhitaji jitu jizi, katili, liuaji na lipenda sifa za kijinga. Lilifanikiwa kuwahadaa wajinga kwa uzalendo fake
 
"Asanteni Watanzania kwa kunikumbuka, poleni Sana kwa kuongozwa na matapeli na mafisadi kwasasa. Lakini nitawaombea nanyi mkayashinde haya 2025. Na kama ningelijua ningebadilisha makamu 2020 ili nisiwaachie mateso wananchi wangu,mungu yu nanyi na atasikia kilio chenu"
Endelea kuoza huko ulikozikwa, unakumbukwa na wajinga na wapumbavu tu. Ulitaka kuharibu nchi yetu kuifanya ya KIDIKTETA ila Mungu wetu aliye hai akakataa
 
Back
Top Bottom