Haya sasa Wakulima wa Mchele Tanzania Kazi Kwenu kwani Wanyarwanda wanavutiwa na Mchele wenu kuliko wa Kwao kutoka Bugarama

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,930
119,099
Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno.

Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu.

Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
 
wasitoke wahuni wakaanza kupeleka makapi yaliyopakwa mafuta

hili soko lilindwe kama mboni ya jicho haya ni matunda ya BBT
 
Wewe ndio unajua leo mbona miaka mingi tu, nchi za Uganda, rwanda, burundi, sudan kusini, kenya, congo ya goma, kalemie, uvila, baraka wanakula mchele kutoka Tanzania na mchele hutoka igunga, nzega, kaliua, kagongwa, kahama, masumbwe, runzewe , nyakanazi, katoro, kote huko na inafanywa na watanzania na watu wa mataifa husika nao huingia tanzania kuchukua mchele, aina ya mbegu za biashara ambazo hulimwa huko ni Saro, super zambia, na kalamata kama wanavoziita wao,
 
Mchele wa Tanzania ni VVIP, ni mchele mtamu sana chini ya jangwa la sahara, huo mchele wa rwanda ni kitumbo hauna ladha na ni mnene kama makande, msiwaone majirani wananenepa na kutoka vitambi ujue hiyo ni kazi ya wakulima wa Tanzania
 
Back
Top Bottom