Haya ni matunda gani jamani na yanaliwa au hayaliwi nimeona sehemu nikaamua kupiga picha

f50dbe596938c1f034262fd945d2f96c.jpg
Hayo matunda watu wa mombasa wanayaita makoma ni matunda mazuri tu ila kuyala inabidi umenye ganda la nje,wanyama kama tumbili,ngedere etc wanayapenda sana, huota maeneo ya pwani ya Indian ocean
 
Back
Top Bottom