Haya ni mambo ambayo ni kero kwa mpenzi au mke/mume na pia wakati mwingine ni ngumu kumwambia live

Leo wadada wenye Matatizo hayo na hawataki kujifunza watakuja juu sana. kila mtu anaona kama ndo yeye nliyetembea naye so ninamtangaza. mi MBONA SIJATAJA MAJINA YENU? NIMEELEZA KWA UJUMLA NA NIKASEMA KAMA KUNA AMBAO PIA WANAKWAZIKA KERO FLAN ZA KIUME WAPO FREE KUELEZA. WAMEKUJA WADADA HUMU WANATOKA POVU.WENGINE WENYE UELEWA WAMEELEWA KIRAHISI SANA. WENZAKE NA YEYE POVU LINATOKA MI NAWASAIDIA MKAJITIBU. MAGONJWA SIYO SIRI.
 
Mi nadhani ukimuambia mtu ni vizuri zaidi hata kama atachukia lakin itamsaidia kutafuta suluhu ya tatizo lake,,,usipomuambia wengi huwa hawajui kama anakua na hilo tatizo kwa sababu hatufu ukiwa umeibeba huisikii japo mi nikichelewa hata kuoga jasho nalisikia.Mi niliwahi kuwa na boyfriend alikua na tatizo la kunuka kinywa yaani the first day tumekutana for a date hotelin kula lunch hadi apetite ilikata maana alikua akiongea tu ile harufu inayotoka kwenye huo mdomo huwezi hata kula kwa raha,,nliogopa kumuambia kwa wakati huo lakin baada ya kurudi nyumbani nikaingia mitandaoni ku google hilo tatizo na nkapata baadhi ya solutions so nkaenda pharmacy moja kubwa nikanunua dawa moja ya meno ni expensive lakin ilikua nzuri pamoja na mouth wash yake kisha nikamuandikia barua kumueleza tatizo nliloligundua kwake na nikafunga hizo bidhaa na hiyo barua kama gift nikampelekea ofisin kwake,,,nlitegemea atachukia na pengine asingenitafuta tena lakin alinipigia kunishukuru na the next weekend tukatoka tena kwenda lunch na sikusikia tena hiyo harufu maisha yakawa murua.

Good woman!
 
Hahahaaha duhhh leo nimecheka sana

lakini kuna demu mmoja alikuwa na haruffu amaizing sana yaani ukiwa ndani ile harufu hutatamani iishe maana ilikuwa nzuri sana na utatamani uingie na round nyingine.
ILA SAMAHANI MKE WANGU
kuna wengine bwana niishie hapa maana uzi umechafuka.

wito kwa dada zangu siri hii nawapa mnashangaa sana kwa nini tunakuwa baada ya roound moja hurudie tena kwa sababu ya harufu mbaya mtu unashindwa kuonyesha na maujuzi mengine

EMBU MJISAFISHE VIZURI JAMANI

TUNAWAPENDA SANA
 
Mkuu ni zamani kidogo kama miaka 3 iliopita kwaiyo siwezi kukumbuka jina la hiyo dawa ya meno na mouth wash ila nakumbuka ilikua ni herbal na nilienda kuongea na mtu wa pharmacy moja kubwa nikamuelezea tatizo la huyo mtu ndo akanipa hiyo dawa,,,haikua bei kubwa sana kwa mtu wa kawaida anaweza kumudu maana nlinunua zote kwa pamoja kama elfu 58 hivi so nadhan kama kuna mtu ana tatizo kama hilo ni vizuri kwenda kununua kwenye pharmacy zinazoeleweka,,,pia huwa kuna vifaa vya kukwangulia ulimi navyo vinasaidia in case harufu inatokana na ulimi kugandamana na mabaki ya vyakula.Ukifika pharmacy na kuongea na watu wa hizo pharmacy kama wanazo watakuuzia.Pia wataalam wanasema kama unanuka kinywa jaribu kupiga mswaki kwa kutumia chumvi kwanza then unasukutua ndo unatumia dawa ya meno.Tukumbuke mficha maradhi kifo humuumbua kwaiyo ukishaambiwa una tatizo fulani kuliko kukasirika ni bora ulitafutie suluhu.Na tatizo la kunuka jasho pia huwa nasikia ukishapika ugali ukiloeka sufuria unachukua ule ukoko unasugulia kwenye makwapa inasaidia, i hope wanaojua jinsi ya kuondoa harufu kwenye uke nao watatueleza njia zao za asili za kuondoa tatizo au kama kuna dawa specific ya kitaalam.
nimependa kuna dawa za wahindi zinaitwa DABUR HERBAL zinasaidia Sana'a..
mm mama angu alikua anatoka harufu ya mdomo nkamnunulia kwa kweli zimemsaidia sana..

ni nzuri Pale Nakumat zinauzwa 2600 mpk 3000,American supermarket 2400 na mswaki wake pia unauzwa
 
dada nashukuru jambo hili umelichukulia POSITIVELY umetoa msaada kwa watu mbalimbali. nami ningekuwa na tatizo hilo kwako ningekuwa nimejifunza kitu . wala huku panic na kuona kuwa kuna mtu anasemwa. haya matatizo mi nimeongea kwa upande wangu sababu mimi ni mwanaume. wakija wana wake nao wanakutana na changamoto zao kuhusu wanaume...mmoja amesema kuna wanaume wakivua boxer harufu inayotoka kwende makende unaweza zimia.... ndo tunarekebishana.

na ninawashauri wanaume wa namna hiyo wanyoe nywele za sehem za siri na wavae boxer mara moja kwa siku.... tunapeana dawa " mtu akikasirika akakamue limao au ndimu alambe"

ndugu yangu weee... miaka hiyo kijana damu inawaka moto maana si kuchemka tu nlikuwa naaangalia ladha tofaut tofaut ndo kisa cha kukutana na maeneo yenye maudhi .nikaona si mbaya kama nikishare na ndugu zangu kwa nia njema kabisa binadamu ni kushirikishaa uzoefu. kwa sasa nimeacha ndugu yangu ni wake zangu wawili wametulia nami nimetulia nao. alhamdulilah si haba siku zaenda sheikh... nashukuru kwa kunipa poke

Nawe mshikaji kwa michepuko umezidi lakini pole kwa kupita sehemu za maudhi
 
dada nashukuru jambo hili umelichukulia POSITIVELY umetoa msaada kwa watu mbalimbali. nami ningekuwa na tatizo hilo kwako ningekuwa nimejifunza kitu . wala huku panic na kuona kuwa kuna mtu anasemwa. haya matatizo mi nimeongea kwa upande wangu sababu mimi ni mwanaume. wakija wana wake nao wanakutana na changamoto zao kuhusu wanaume...mmoja amesema kuna wanaume wakivua boxer harufu inayotoka kwende makende unaweza zimia.... ndo tunarekebishana.

na ninawashauri wanaume wa namna hiyo wanyoe nywele za sehem za siri na wavae boxer mara moja kwa siku.... tunapeana dawa " mtu akikasirika akakamue limao au ndimu alambe"
haya matatizo yapo mfano japo mm sikua na hilo tatizo but my mom na mdogo wangu to the extent kua hutamani wakusogelee kwenye kuongea
sasa siku moja nkaenda mlimani city nkakuta hizo dawa nkasema let me try hizi dawa maana naziona kwny matangazo ya TV za nje nkamjaribia mdogo wangu coz nlikua naishi nae
after few days harufu ikakata nkaenda mnunulia mama

na ile dawa inasaidia pia hata meno mabovu mdogo wangu mmoja yuko mkoani namtumia kila zikiisha anainiagiza nimnunulie maana huku dar ni cheap
 
kweli ni cheap sana tena mi huwa nazidharau kumbe usidharau kitu usichokijua. KAMA HAYA NISINGEYAWEKA HADHARANI WATU WASINGEJUA. NAJUA WATU KIMYA KIMYA WATAENDA KUTAFUTA HIZO DAWA. ni jambo jema ume tupa uzoefu kupitia kwa watu wengine. njia mojawapo ya kutatua tatizo ni kulitambua tatizo kwanza. wengi hawataki kulitambua tatizo kwanza. na ndo wanapokosea.

Sure mfano kwapa dawa kubwa ndimu kata ndimu paka kwapani wiki harufu tupa Kule...

au maji ya Mchele unanawa

Na unapona kabisa maana mwingine perfume hazimkubali

Mm binafsi thread kwangu nimeiona kawaida tu!
 
Hakuna jambo bora Duniani kama kubeba matatizo ya wengine, mtoa post waweza kua sahihi kwa akili yako inavyokutuma lakini pia naweza kua unakosea sana kwa maana unafadhaisha nafsi za watu, hasa pale unapo attack kila anayeonekana kukereka na maneno yako
Maisha hayako hivyo, na huwezi kupata umaarufu kwa kuonyesha ubabe wa namna hiyo
Naomba niwaombe wanaume, hebu wasitirini Dada zenu, yes ni Dada zenu maana mwanamke wa mwanaume mwenzio ni Dada yako na mpenzi wako ni Dada wa mwanaume mwingine, JF imekua ni mahali pa kuwasemea vibaya kuwasemea mabaya.Hakuna binaadamu kamili kamilifu aliye timilifu yawezakua kero zote hizo ulizopitia ni sehemu ya changamoto na ulitakiwa kuwasaidia badala ya kuwasimulia, hebu onyesha nguvu ya kiume badala ya hizo unazotumia hapa kupakaza watu matope kua unawajua n.k huo ni unaa,ni uchonganishi,ufitinishi na zaidi ya yote ni ushankupe
Wanaume hata nyie mnamapungufu mengi sana na wengi tunachofanya ni kutoa elimu, harufu ameumbiwa kiumbe hai chochote sasa kiwango cha kunuka au kunukia hutofautiana baina ya mtu na mtu, hivyo usitumie kama silaha ya kuwaangamiza kundi Fulani kisa tu ujifurahishe na roho yako, hiyo haita kusaidia
Katika maisha yangu sitakaa kamwe kutoka kusondo maumbile ya mwenza wangu kisa tu tumeachana ,hivi mpaka nimemvulia Mara 2 au 3 means hata mie nilikua wa viwango vyake means na mie mchafu
Wanaume viko wapi vile vikoromeo mlivyojaaliwa?
Umeongea kihisia,ushauri mzuri sana ila nadhan mtoa mada aliongelea Kwa jinsia zote mbili
 
Hapo namba 3 inaonekana ulizama uvinza ukala magadi chumvi, hii ni tahadhari kwa wote wazamiaji
 
we're here to change the world, changing the world means wherever you observe something not right across ur way YOU HAVE TO CHANGE IT.

Mi najisikia sana kama nikiimpact maisha ya mtu positively, mtu yeyote yule.
 
Kama umeona kasoro kwa nini usimuambie mwenzako na kuwa part ya kutafuta solution? Halafu kwa nini utoe siri za ndani?
 
Mkuu umekosea sana na hii thread yako. Kama kuna mwanamke umeona ana kasoro mwambie yeye mwenyewe ajirekebishe na msaidie pia. Sio kuleta mbele ya umati eti na kusema unataka kuwasaidia.

Ukishaoa utaona maajabu huko chini kwa mke wako kama akitoka kujifungua au akiwa na mimba sasa sijui utaletaa huku pia, hebu kuwa mtu Mzima, hatuletagi ya chumbani nje ya chumba.

Ushawahi kuwasikia wazeee wa zamani wakizisema maumbile za mama zenu au wanawake wao? Thubutu!!!
 
Mkuu sipingani na mawazo yako. Uko sahihi kabisa ila nataka nikueleweshe kitu kimoja.

Nia na dhumuni la mtoa mada haikua kumdhalilisha mtu, ni kusema yale mambo yaliyopo katika mahusiano ambayo ni vigumu kuelezana.

So kama alivyo leta lengo ni wachangiaji kutoa mawazo ni nini kifanyike kukabiliana na hali hiyo ndio cha msingi kilichokuwepo..
 
Kuna wanawake Hawajiamini.... MIMI NMETOA MADA nimesema WAKE/WAUME. nikaeleza kwa upande wa wanawake maana hao nmekutana nao. Wengine kama walikutana na matatizo hayo wangesema kwa nafsi zao. Hawa KADHAA WAMEKASIRIKA WANATOKWA POVU ETI WAMEDHALILISHWA WAKATI MAJINA YAO NLIYASTIRI SIKUYATAJA. LAKINI WAMETOKWA POVU JASHO KILA SEHEM ZA MIILI YAO.SIJAELEWA WHY WAME PANIC HIVI. MI NLIRUSHA JIWE TU GIZANI.WALA SIKUMLENGA MTU. WENYE AKILI wameelewa na wametoa solutions. Wale wa uswahilin wenye shida wameona wamedhalilishwa. Mfano mimi ukiniita shoga wakat si shoga wala hainiathiri kitu. Ukiniita mwanamke au mvulana wala haina madhara kwangu. Ukweli utasemwa mtu akikasirika juu yake. Lamsingi sijamtukana mtu.nmezungumza kwa ujumla wale wanaohisi nlitembea nao ndo wamekuja juu sana ingawa sijawataja kabisa.

Mkuu sipingani na mawazo yako. Uko sahihi kabisa ila nataka niKUELEWESHE kitu kimoja.

Nia na dhumuni la mtoa mada haikua kumdhalilisha mtu, ni kusema yale mambo yaliyopo katika mahusiano ambayo ni vigumu kuelezana.

So kama alivyo leta lengo ni wachangiaji kutoa mawazo ni nini kifanyike kukabiliana na hali hiyo ndio cha msingi kilichokuwepo..

Lakini watu WAKAANZA KUJIVUTIA HISIA NA KUONA KAMA WAMEGUSWA WAO AU WAMEDHALILISHWA KUMBE NI TOFAUTI KABISA.

MATUSI YA NGUONI HALAFU WENGINE WAJIITA WAKE ZA WATU.

HEBU TUACHE DHIMA YA KUJIFUNZA TUNAIONDOA ITAFIJA KIPINDI MTU AKITAKA KUCHANGIA ANAJIULIZA MARA MBILI.

Hope NIMEELEWEKA. Tuache mapovu..!!
 
Back
Top Bottom