Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,416
- 65,256
Watakubishia ila wasukuma kwa idadi tu hakuna kabila linawafikia hata nusu sijui, pili wanaishi popote wale watu kuwe na ardhi inayofaa kilimo tu, kanda ya ziwa, kati na magharibi ya nchi wamejazana wao tuUkweli wanadominate! Sema hawana makelele tu! Kilimo,Madini,Ufugaji,elimu kwa sasa na Bishara wanakuja juu sana!