Haya ndiyo majukumu mazito ya Mkurugenzi(DED), mwendokasi wataweza?

na nasikia Wakaguzi wa NAo ndio wanaanza shughuli rasmi
Ni kweli watu wengi watafikishwa mahakamani na hii itaongeza chuki maradufu maana hakuna mtumishi atakayekuwa salama kumbuka kuwa DED anatangaza tu majumuisho jamaa akikwaruzana na hawa maARO watamuhujumu vibaya kiasi mkurugenzi hawezi saidia chochote
 
Hayo majukumu yana uzito/ ugumu gani? Uongozi ni kipaji, but management is to get things done.

Ni usimamizi tu,

Inakuwa rahisi zaidi ku-manage mambo unayoyajua. Kama ni mgeni wa kila kitu unamanage vipi?
 
Nipo halmashauri kwa miaka 15 na ni mkuu wa idara kifupi kama wateule hawakuwahi hata kuwa wakuu wa idara na hawajafanya kazi halmashauri ni vema wakatae hizi teuzi wanaenda kufeli vibaya na hiki ni kipindi cha kufunga hesabu wanakwenda kuanza na kufunga hesabu ambazo hawajahusika nazo kabisa believe my words hii nchi inaenda ku collapse soon bora uDAS na DC lakini mkurugenzi hapana aisee
mkuu naunga mkono hoja yako. kuna mdada namfahamu amepata ukurugenzi mh! nadhani wengine wamepokea kwa furaha lakini watatenda kuwa pressure na wengine wanaweza kuondoka kwa aibu. Ukurugenzi nauona kama the toughest and most sensitive job in the local gvt. hata katibu mkuu hata waziri inaweza kuwa nafuu. halafu kushindwa kwa mkurugenzi ni kushindwa kwa halmashauri ni kushindwa kwa wanachi.
kama kuna kazi inahitaji IQ kubwa basi ni ukurugenzi ..
 
Wanipe namie nijaribu.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED

1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration;

2. Securing compliance with the prescribed financial procedures by operating departments;

3. Directing the work of the Internal Audit section, receiving their reports and after consultation with relevant head of departments, ensuring recommendations and acted upon and submitted to relevant authorities;

4. Overall management of Council’s expenditures, revenues, and all assets and liabilities;

5. Ensuring compliance of all statutory guidelines for the financial Management of Council affairs;

6. Responding to queries within given deadlines from the Office of the Controller and Auditor General, the Local Authority Account Committee (LAAC) and the Minister;

7. Making certain that councillors are kept regularly informed of the financial affairs of the Council;

8. Being secretary to the finance Committee;

9. Making sure that computerized system operates;

10. Keeping under good Custody all assets and property of the Council; and

11. Adhering to procurement functions stipulated in Public Procurement Act and its related

KWA TAFSIRI ISIYO RASMI

1. Kuhakikisha kunakuwa na mfumo rasmi na wakuridhisha katika usimamizi wa fedha

2. Kuhakikisha idara zinafanya matumizi kwa mujibu wa taratibu za fedha

3. Kuhakikisha kitengo cha ukaguzi wa ndani kinafanya kazi vyema, kupokea taarifa za ukaguzi wa ndani, na kwa kushirikiana na wakuu wa idara ahakikishe maoni ya mkaguzi wa ndani yanajibiwa na kutekelezwa na anawasilisha majibu hayo kwa mamlaka husika ambazo ni CAG, RAS na Chief Internal Auditor

4. Usimamizi wa matumizi, mapato, mali na madeni yote ya halmashauri kwa ujumla

5. Kuhakikisha sharia, sera, kanuni na miongozo yote ya usimamizi wa fedha za halamashauri inafuatwa.

6. Kuhakikisha kuwa anajibu kwa wakati hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) na wizara

7. Kuhakikisha waheshimiwa madiwani wanapata taarifa za fedha za halamashauri

8. Kuwa katibu wa Kamati ya fedha ya Halamshauri. Kamati hii wajumbe wake ni madiwani.

9. Kuhakikisha mifumo ya kompyuta inafanya kazi

10. Kuhakikisha utunzaji mzuri wa mali za Halmashauri

11. Kuhakisha sharia ya manunuzi ya umma na kanuni zake zinafuatwa

MAJUMKU MENGINEYO

1. Kuidhinisha malipo

2. Kuidhinisha mikataba yote ya halmashauri

3. Kuteua Bodi ya Zabuni kwa mujibu wa sharia

4. Kuteua Kamati ya Ukaguzi(Audit Committee) kwa mujibu wa sharia

5. Kuwa mkurugenzi wa uchaguzi ngazi ya wilaya pale inapotokea

6. Kuteua kamati ya upembuzi wakati wa manunuzi makubwa

MY TAKE

Hii kazi sio rahisi kama mashabiki wa mwendo kasi mnavyodhani. Huyu mtu anaenda kuwa msimamizi wa idara 19 pale halmashauri. Ikiwepo idara ya elimu na afya zenye changamoto za kufa mtu. Huyu mtu ndio anaenda kukuza uchumi wa wilaya na kuongeza pato la taifa kupitia wilaya yake. Mikataba mikubwa ya mabilioni ya fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo inaenda kuidhinishwa na yeye baada ya kujiridhisha kila kitu kiko sawa.

Anakwenda kusimamia matumizi ya mapato ya ndani ya zaidi ya bilioni 20 mfano Manispaa ya Kinondoni mpaka milioni 500 kwa halmashauri mpya. Anakwenda kusimamia ruzuku ya serikali mabilioni ya fedha.

Anakwenda kusimamia ufungaji wa hesabu na kujibu hoja ngumu za CAG kama tulivyoona hapo juu, matokeo yake unashindwa kuzuia au kujibu hoja unaanda maburungutu ya kuhonga wakaguzi

Kwa maoni yangu, serikali isione aibu, pangia hawa watu wasio na sifa majuku mengine mara moja. System inajua nani mwenye uwezo na asiye na uwezo

HITIMISHO

Kuna mahali pa kujifunzia lakini sio ukurugenzi. Mngeweza kuwapatia ukuu wa idara na vitengo kwa mujibu wa taaluma zao.
 
Mungu msaidie mapadloki hajui atendalo

Hiyo 'mapadloki' ni kejeli...Hata hivyo ni kweli uteuzi wa ma-DAS na ma-DED ni janga...lakini uteuzi wa ma-DED Rais hahusiki moja kwa moja...Rais amechomekewa tu...hii ni hatari mno...
 
Kwa ki

Kwa kifupi majukumu yote/ agenda yote ya maendeleo ya serikali imeshushwa kwenye ofisi hii
 
Nipo halmashauri kwa miaka 15 na ni mkuu wa idara kifupi kama wateule hawakuwahi hata kuwa wakuu wa idara na hawajafanya kazi halmashauri ni vema wakatae hizi teuzi wanaenda kufeli vibaya na hiki ni kipindi cha kufunga hesabu wanakwenda kuanza na kufunga hesabu ambazo hawajahusika nazo kabisa believe my words hii nchi inaenda ku collapse soon bora uDAS na DC lakini mkurugenzi hapana aisee

Watakuwa wanawa''kaimisha'' nyie kila siku. Na hapo ndio mtaiba vizuri. CAG mwakani atatoa report ya ukiukwaji mkubwa wa kanuni na wizi kwenye halmashauri nyingi nchini. Report itakwenda Ikulu. Kwa vile Baba J ndie aliyewateua, ataziua tu. Nothing will happen. Tutarudi square A. Life will go on. Sounds familiar huh!? # ShambaLaBibi!
 
Hebu weka na majukumu ya Madiwani wanaosomewa taarifa tuone kama tuliowachagua wana uelewa wa mambo wanayosomewa ili wayajadili kwa weledi.
 
Nipo halmashauri kwa miaka 15 na ni mkuu wa idara kifupi kama wateule hawakuwahi hata kuwa wakuu wa idara na hawajafanya kazi halmashauri ni vema wakatae hizi teuzi wanaenda kufeli vibaya na hiki ni kipindi cha kufunga hesabu wanakwenda kuanza na kufunga hesabu ambazo hawajahusika nazo kabisa believe my words hii nchi inaenda ku collapse soon bora uDAS na DC lakini mkurugenzi hapana aisee
Mkuu wa idara miaka 15 bado unalia lia tu.Usijifananishe na mtoto wa kike mkuu
 
Nipo halmashauri kwa miaka 15 na ni mkuu wa idara kifupi kama wateule hawakuwahi hata kuwa wakuu wa idara na hawajafanya kazi halmashauri ni vema wakatae hizi teuzi wanaenda kufeli vibaya na hiki ni kipindi cha kufunga hesabu wanakwenda kuanza na kufunga hesabu ambazo hawajahusika nazo kabisa believe my words hii nchi inaenda ku collapse soon bora uDAS na DC lakini mkurugenzi hapana aisee
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja 100%. Wengi hawana ufahamu mkubwa wa Halmashauri zinafanya nini. Aidha hawafahamu kuwa wika ya 1998 ilifanyika Decentralization majukumu mengi ya central Governement yakahamishiwa Halmashauri na Restructuring as well as Local Government Reform ilifanyika kuhimili Decentralization. Position ya DED is not a joke! Afadhali u DC ni kama coordinator ukiwa na basics za Utawala utamudu lakini si kwa DEDs , umakini ulitakiwa katika kuwateua kuzingatia kisomo na uzoefu wa Local Governement. Actually utaratibu ubadiklishwe, vigezo viwekwe watu wa-apply!
 
Back
Top Bottom