Haya ndio yanayotukera kutoka kwa vijana waliozaliwa miaka ya 90s

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
2,007
7,118
Hapa nazungumzia hiki kizazi ambacho Kwa sasa ni vijana na wamezaliwa Miaka ya 90.

Hawa vijana kiukweli wanakera sana Kwa matendo yao japo Wana mazuri lakini mazuri yao sio mengi kama mabaya yao

Yafuatayo ndio yanayotukela kutoka Kwa hiki kizazi.

1. Wengi wao ni wavivu
Inashangaza sana kuona kijana nguvu kazi ya taifa kuwa mvivu kupitia kiasi, walio wengi vijana Hawa hawapendi kazi Wala kujishughulisha hata Kwa kazi za nyumbani tu hawapendi kufanya
Iv ni kweli kijana unasubiria mpaka uambiwe kufanya usafi nyumbani? Hii haiingii akilini hata kidogo, yaani hata kusogeza sofa na kupanga vitu vizuri hawataki wanataka wafanyiwe na wafanyakazi wa ndani.

2. Hawajui kutafuta kazi, yaani kijana wa 90 akikupigia simu kuomba kazi hadi inachekesha (bro naomba nitafutie kazi). Iv kidume mwenye ndevu zilizokomaa unaomba kazi Kwa mfanyakazi? Are you serious? Yaani Mimi mwenyewe ni muajiriwa halafu unaniomba kazi as if Mimi ni meneja muajiri.....hivi hamuonagi aibu kweli? Kazi haziombwi Kwa simu maboyo nyie kazi inatakiwa upambane haswaaaa, ukiona mtu anafanya kazi ujue amepambana sio Kwa kupiga hivyo visimu vyenu Kwa mabando ya saizi Yako. Mnakera sana mnavoomba kazi kiboya boya...unakita likijana lingine linamuomba kazi rafiki yake amtafutie kazi as if lenyewe limekatazwa kutafuta kazi.

3. Wanaongoza kuzalisha wadada na kuwafanya masingle Maza kuongezeka nchini
Hii ni Kwa wadada, dada yangu ukidate kijana wa 90 ikatokea umebeba mimba hesabu maumivu, Hawa vijana hawajui kuoa Wala kulea watoto hivyo ikitokea umebeba mimba jua imekula kwako hapo huna baba wa mtoto ila una limbuzi Fulani linalotegemea lilelewe mtoto wake. Wadada tumieni kinga mkishindwa basi muwe mnajikamua manii baada ya tendo Ili msije kuharibu maisha yenu.

4. Ulevi uliopindukia, hizi pombe sio kwamba wananunuaga wenyewe ni vile wanapenda kujipendekeza hovyo kwenye mabar mpaka wananunuliwa pombe na huwa hawachagui pombe Hawa vijana.

5. Umalaya kupita kiasi, hapa sitii neno kwasababu Kila mtu anajionea huko aliko

6. Wanapenda kulaumu, Hawa vijana kwakua hawana kazi basi wamezidi kuwa omba omba (naomba elfu kumi bro Nina shida nayo). Sasa ikitokea umemwambia Sina basi jua mzigo wa lawama wa yeye kutokua na Hela utakua ni wako

7. Uvaaji wa nguo zisizo na stara, inashangaza sana kuona kijana amevaa mlegezo halafu ndani kavaa boksa nyepesi(wanashindana na dada zao). Hapa watajitetea mbona waliozaliwa 80 walikua Wanavaa milegezo, jibu ni yes ila vijana wa 80 akivaa mlegezo basi jua ndani anakipensi kigumu Cha jinsi nyuma ananing'iniza cheni nzio(huo ndo ulikua ujanja)..

8. Kupendelea ngono zilizokatazwa(kinyume na maumbile). Nyinyi vijana saivi mnapenda sana visamvu sio mabinti Wana wanaume.. ushoga umekuywa mwingi sana mpaka tunaona kinyaa

Kwakweli Hawa vijana kama kufa na wafe tu hawana faida Kwa jamii, mpaka tunayasema haya mjue yametufika shingoni tumewachoka

Kila siku ntakuwa natoa nyongo mpaka mbadilike ama mufe maana hakuna namna tena
 
_20231203_145619.JPG
 
Uandishi tu umekuangusha we mtoa mada wewe ni wa kaliba gani? tuanzie hapo YANATUKELA [Yanatukera]
 
1. Wengi wao ni wavivu.

3.wanaongoza kuzalisha wadada na kuwafanya masingle Maza kuongezeka nchini
Hii ni Kwa wadada, dada yangu ukidate kijana wa 90 ikatokea umebeba mimba hesabu maumivu, Hawa vijana hawajui kuoa Wala kulea watoto hivyo ikitokea umebeba mimba jua imekula kwako hapo huna baba wa mtoto ila una limbuzi Fulani linalotegemea lilelewe mtoto wake. Wadada tumieni kinga mkishindwa basi muwe mnajikamua manii baada ya tendo Ili msije kuharibu maisha yenu.

4.ulevi uliopindukia, hizi pombe sio kwamba wananunuaga wenyewe ni vile wanapenda kujipendekeza hovyo kwenye mabar mpaka wananunuliwa pombe na huwa hawachagui pombe Hawa vijana.

5.umalaya kupita kiasi, hapa sitii neno kwasababu Kila mtu anajionea huko aliko

6.wanapenda kulaumu, Hawa vijana kwakua hawana kazi basi wamezidi kuwa omba omba (naomba elfu kumi bro Nina shida nayo). Sasa ikitokea umemwambia Sina basi jua mzigo wa lawama wa yeye kutokua na Hela utakua ni wako

7. Uvaaji wa nguo zisizo na stara, inashangaza sana kuona kijana amevaa mlegezo halafu ndani kavaa boksa nyepesi(wanashindana na dada zao). Hapa watajitetea mbona waliozaliwa 80 walikua Wanavaa milegezo, jibu ni yes ila vijana wa 80 akivaa mlegezo basi jua ndani anakipensi kigumu Cha jinsi nyuma ananing'iniza cheni nzio(huo ndo ulikua ujanja)..

8.kupendelea ngono zilizokatazwa(kinyume na maumbile). Nyinyi vijana saivi mnapenda sana visamvu sio mabinti Wana wanaume.. ushoga umekuywa mwingi sana mpaka tunaona kinyaa

Kwakweli Hawa vijana kama kufa na wafe tu hawana faida Kwa jamii, mpaka tunayasema haya mjue yametufika shingoni tumewachoka

Kila siku ntakua natoa nyongo mpaka mbadilike ama mufe maana hakuna namna tena
Like Mother Like Her Daughter!
Like Father Like His Son!

Daima, Maji hufuata mkondo!
Mtoto u-mleavyo ndivyo akuavyo!
 
Hapa nazungumzia hiki kizazi ambacho Kwa sasa ni vijana na wamezaliwa Miaka ya 90.

Hawa vijana kiukweli wanakera sana Kwa matendo yao japo Wana mazuri lakini mazuri yao sio mengi kama mabaya yao

Yafuatayo ndio yanayotukela kutoka Kwa hiki kizazi.

1. Wengi wao ni wavivu
Inashangaza sana kuona kijana nguvu kazi ya taifa kuwa mvivu kupitia kiasi, walio wengi vijana Hawa hawapendi kazi Wala kujishughulisha hata Kwa kazi za nyumbani tu hawapendi kufanya
Iv ni kweli kijana unasubiria mpaka uambiwe kufanya usafi nyumbani? Hii haiingii akilini hata kidogo, yaani hata kusogeza sofa na kupanga vitu vizuri hawataki wanataka wafanyiwe na wafanyakazi wa ndani.

2. Hawajui kutafuta kazi, yaani kijana wa 90 akikupigia simu kuomba kazi hadi inachekesha (bro naomba nitafutie kazi). Iv kidume mwenye ndevu zilizokomaa unaomba kazi Kwa mfanyakazi? Are you serious? Yaani Mimi mwenyewe ni muajiriwa halafu unaniomba kazi as if Mimi ni meneja muajiri.....hivi hamuonagi aibu kweli? Kazi haziombwi Kwa simu maboyo nyie kazi inatakiwa upambane haswaaaa, ukiona mtu anafanya kazi ujue amepambana sio Kwa kupiga hivyo visimu vyenu Kwa mabando ya saizi Yako. Mnakera sana mnavoomba kazi kiboya boya...unakita likijana lingine linamuomba kazi rafiki yake amtafutie kazi as if lenyewe limekatazwa kutafuta kazi.

3. Wanaongoza kuzalisha wadada na kuwafanya masingle Maza kuongezeka nchini
Hii ni Kwa wadada, dada yangu ukidate kijana wa 90 ikatokea umebeba mimba hesabu maumivu, Hawa vijana hawajui kuoa Wala kulea watoto hivyo ikitokea umebeba mimba jua imekula kwako hapo huna baba wa mtoto ila una limbuzi Fulani linalotegemea lilelewe mtoto wake. Wadada tumieni kinga mkishindwa basi muwe mnajikamua manii baada ya tendo Ili msije kuharibu maisha yenu.

4. Ulevi uliopindukia, hizi pombe sio kwamba wananunuaga wenyewe ni vile wanapenda kujipendekeza hovyo kwenye mabar mpaka wananunuliwa pombe na huwa hawachagui pombe Hawa vijana.

5. Umalaya kupita kiasi, hapa sitii neno kwasababu Kila mtu anajionea huko aliko

6. Wanapenda kulaumu, Hawa vijana kwakua hawana kazi basi wamezidi kuwa omba omba (naomba elfu kumi bro Nina shida nayo). Sasa ikitokea umemwambia Sina basi jua mzigo wa lawama wa yeye kutokua na Hela utakua ni wako

7. Uvaaji wa nguo zisizo na stara, inashangaza sana kuona kijana amevaa mlegezo halafu ndani kavaa boksa nyepesi(wanashindana na dada zao). Hapa watajitetea mbona waliozaliwa 80 walikua Wanavaa milegezo, jibu ni yes ila vijana wa 80 akivaa mlegezo basi jua ndani anakipensi kigumu Cha jinsi nyuma ananing'iniza cheni nzio(huo ndo ulikua ujanja)..

8. Kupendelea ngono zilizokatazwa(kinyume na maumbile). Nyinyi vijana saivi mnapenda sana visamvu sio mabinti Wana wanaume.. ushoga umekuywa mwingi sana mpaka tunaona kinyaa

Kwakweli Hawa vijana kama kufa na wafe tu hawana faida Kwa jamii, mpaka tunayasema haya mjue yametufika shingoni tumewachoka

Kila siku ntakuwa natoa nyongo mpaka mbadilike ama mufe maana hakuna namna tena
apo bado mbona
 
Uandishi tu umekuangusha we mtoa mada wewe ni wa kaliba gani? tuanzie hapo YANATUKELA [Yanatukera]
Mzungu akisema wasap mnaona kapatia badala ya what's up, mbongo akitumia r badala ya l hata kama umeelewa unaona amekosea( huu ukoloni mamboleo unawatesa sana watu msiojielewa)
 
jibu acha kuwehuka hukutulia kwenye kuandika huwa inakuwa kwenye kutamka na sio kwenye uandishi, acha kushupanza shingo hilo neno umelikosea.
 
Bro kwani kupata shida ni mashindano? Kama wewe ulipata kazi kwa shida kuna ubaya gani ukimrahisishia uyo kijana? Acha roho ya kisasi. Akikuomba kazi haimaanishi kwamba wewe ndio umuajiri unaweza hata ukamuunganisha na mwingine ambaye unafikiri anaweza kumsaidia au hata hapo hapo kazini kwenu zikitoka nafasi unawahi kumpa dogo taarifa kabla job vacancy haijaenda viral.

Mabroo acheni roho za kulipiza kisasi. Sasa kama hamtaki kuwapiga tafu madogo kuna faida gani ya myie kutangulia? Umuhimu wa kutangulia ni kuondoa vikwazo kwa wanaokufuata yaani zile shida ulizopata wewe akikisha wanaokufuata hawatakutana nazo. Wazee/wababa/mabroo acheni mentality ya kuamini kila mtu lazima aanze maisha 0.
 
Mzungu akisema wasap mnaona kapatia badala ya what's up, mbongo akitumia r badala ya l hata kama umeelewa unaona amekosea( huu ukoloni mamboleo unawatesa sana watu msiojielewa)
Ww mwenyewe hujielewi kunyea jamvini. Toa mharo ako
 
Back
Top Bottom