Harnandez
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 408
- 344
Yaaa inawezekana kabisa......Mkuu kwaiyo nilisiti masomo mawili kutafuta hizo D mbili?
Yaaa inawezekana kabisa......Mkuu kwaiyo nilisiti masomo mawili kutafuta hizo D mbili?
Kwa ufaulu huo na kwa vigezo vya sasa vya TCU huna sifa ya kusoma chuo kikuu!Mkuu ngoja nikuweke sawa,mitayari nina diploma ya sheria ya GPA Ya 2.9 na kidato cha sita nina dvn 3 ya 14 hivo naomba namna ya kwenda chuo kikuu ndugu
Ndugu mi ni mfanyakazi wa serikali kama hakimu mahaka ya mwanzo,sassa ujasiria mali wapi tena, but nashukuru ushauri wako wa kuristiKwa ufaulu huo na kwa vigezo vya sasa vya TCU huna sifa ya kusoma chuo kikuu!
Ndio maana huyo ndugu amekushauri uboreshe pass zako za f6 au zile za diploma!
Mimi nakushauri reseat form6 ufanye mtihani 2018. Vinginevyo Fanya ujasiriamali!
4m 6 ni level dume aiseeeDuuh sasa mnatupa Kazi ngumu nyie jamaa
Hizo GPA tunajua sio ishara ya uelewa ila linapokuja suala la kitaaluma aisee ulitakiwa kutusua hata 3.8 tu sasa ona unataka tushiriki kukushauri kitu ambacho hakiwezekani
Labda nenda urudie paper la six upate principal pass moja wanayotaka ili ziwe D mbili
Ila six msuli wake sina hamu nao kabisa
Usijaribu kurisiti mawili kutafuta D mbili je, moja likizingua? Risiti matatu mkuu. Afu mbona kuna baadhi ya vyuo kama SAUT ya Mwanza kuna Orientation course ya mwaka mmoja afu unaingia Chuo Kikuu au nayo imefutwa wadau?Mkuu kwaiyo nilisiti masomo mawili kutafuta hizo D mbili?
Na akienda huko Ug wafahamu kuwa ili awars yake itambulike hapa kwetu ni lazima TCU waithibitishe kuwa ina meet standards za huku?Mm nakushauri nenda hata kenya au uganda ukasome iyo degree yko kwa hiyo hiyo gpa. Kwa vyuo vya ndani hautakubaliwa kwa sasa coz TCU wanataka 3.0
Bado Mkuu,I can't giveup brother , wait I will bring here feedback after four years,I ask God to let you be alive when I will be bringing my feedbackDah 2.9..na ni hakimu pia shabiki wa rais..bora utulie home muda wako umeisha
Umejibu vyema kabisa.Kuna hii kitu inaitwa Prior Learning Recognition (PRL) hebu iangalie kama unavigezo vya kufanya mtihani. Huenda ikakutoa hii.
Naomba iwe hivo Mkuu, vipi hiyo prl inajuwaje hebu mizaidie mpendwa lengo language mwaka huu nianze shule nduguikumbukwe hiyo PRL...mwaka jana walifaulu 15 tu kwa kifupi mkuu hataki wasomi wengi wajameni tuombe mungu kuna fununu kuwa grades zikashuka kwani wa diploma hawana option nyingine....
hiyo prl ni mitihani ambayo unafanya kulingana na field uliopo kama wew utafanya mitihani ya law kwani unauzoefu teyali ukifaulu ni degree moja kwa moja na masharti ya hiyo prl lazima uwe umefanya kazi si chini ya miaka 5Naomba iwe hivo Mkuu, vipi hiyo prl inajuwaje hebu mizaidie mpendwa lengo language mwaka huu nianze shule ndugu
Asante Mkuu usinichoke, hii inapatikana wapi? Je ni chuoni moja kwa moja au tume ya vyuo vikuu, sorryhiyo prl ni mitihani ambayo unafanya kulingana na field uliopo kama wew utafanya mitihani ya law kwani unauzoefu teyali ukifaulu ni degree moja kwa moja na masharti ya hiyo prl lazima uwe umefanya kazi si chini ya miaka 5